CHADEMA: Tunaunga mkono uhuru wa Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA: Tunaunga mkono uhuru wa Zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zanzibar huru, May 30, 2012.

 1. z

  zanzibar huru Senior Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Si serikali 1 au 2 au3

  CHADEMA kama chama kinachotetea haki za wanyonge haiwezi kuwa na sera za unyanyasaji za ccm ndio maana inaunga mkono Wazanzibari kujiamulia kama wanataka kujitoa kwenye Muungano au la

  sasa hizi propaganda za kutuambia kuwa CHADEMA ni chama cha wachagga na wakristo zimegonga mwamba

  kama CHADEMA wamesimamia haki na wameamua kutounga mkono udhalimu wa Muungano huuu basi sioni sababu kwa nini CHADEMA wasichukue Zanzibar

  Sasa tuambieni matawi tenu yako wapi huku bwe juu?
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,775
  Likes Received: 6,108
  Trophy Points: 280
  Sio kweli! Msimamo wa Chadema kama chama na kama ambavyo viongozi wake wa ngazi mbalimbali wamekuwa wakiwaeleza wananchi ni huu:

  WANANCHI WAACHIWE WAAMUE WENYEWE AINA YA MUUNGANO WANAOUTAKA.

  Huo ndio msimamo rasmi uliotolewa hata Bungeni na Waziri Kivuli wa Kambi Rasmi ya Upinzani Mh. Tundu Lissu. Kwa uelewa finyu wa wabunge wa magamba wakishirikiana na wale wa CUF waliishia kumzomea na kumtolea kashfa za kila aina. Huo ndio msimamo rasmi wa Chadema ninaoujua mimi labda kama wametoa mwingine mchana huu.
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Umenichekesha kweli ' zanzibar huru'.....Zanzibar ikishakuwa huru, CHADEMA itaenda kufanya nini huko? Hayo matawi unayoomba ni ya nini mkishajitenga? Halafu, mbona mnachoma moto ofisi zao?
   
 4. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  It makes a lot of sense. Angesikilizwa Lissu na ushabiki wa kisiasa kuwekwa pembeni, haya yote yanayoendelea Zenji yasingefika hapo yalipofika sasa.
  Kwa kuwa tu alisema mpinzani, basi ikaonekana ni chachu ya uhai wa muungano.
  Sidhani kama kuna mwananchi ambaye hapendi muungano, ila uwe ni muungano unaoleta manufaa kwa pande zote mbili na uwe muungano ulioridhiwa na pande zote mbili.
  Muungano ulipo sasa unahitaji upate maoni na mapendekezo kutoka pande zote mbili. Kama hakuna maridhiano na upande mmoja hauridhiki, TUPILIA MBALI kuliko kutaka kukaribisha umwagaji damu usio na maana yeyote kwa kuung'ang'ania.

  Aliyesema Muungano usiingiliwe wala kujadiliwa sambamba na ukusanyaji maoni ya katiba mpya, ndiye aliyeleta hii tafrani yote.(kama sikosei aliyenena haya ni mkuu wa kaya). Sasa UAMSHO wameamka (sijui walilala wapi)
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Serikali 3
   
 6. T

  Topetope JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Watanzania wenzangu amini nawambia kuwazui WA zanzibari kutowa maoni halita tusaidia
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa hapo
   
 8. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kero namba moja ya Muungano huu ni 'kuendelea kuwepo kwa muungano', and the best solution ya kero hii ni ku-terminate muungano huu. Serikali zote mbili zinajua hili. Kinachoendelea sasahivi huko Zenj ni matokeo ya muungano huu kuendelea kuwepo. Kwa maoni yangu mimi, sioni kama kuna haja ya kuwaachia wananchi eti waamue ni aina gani ya muungano wanaouhitaji wakati upande mmoja wa muungano huu (ie Zanzibar) unaonyesha wazi kwamba nguvu ya wanainchi wasioutaka muungano ni kubwa kuliko ile ya wanainchi wanaopenda muungano.
   
 9. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Hivi watanganyika(Azania) hivi ya nn kulazima muungano ili hali upande mwingine wana-disagree?! Sioni sababu ya kuwa na muungano kama huu na hapa napingana na msimamo wa chama changu CDM kuhusu serkal 3, hapa hamna haja ya serkali 3 wala muungano cha myhimu ni kuwaachia hao midebwedo na tuone kama watakula karafuu 2ยด.
  "LET ZANZIBAR GO, LET THEM EAT THEM"
   
Loading...