Crdb- mwanza kunani mishahara yetu ya mwezi huu?

Bosco Ntaganda

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
710
288
Jamani hivi kuna nini hapa crdb -bank na halimashauri ya jiji la mwanza? Hadi leo hii wako kimya kuhusu mishahara yetu sisi tunaopokelea bank hii. Kwanini tuna adhibiwa hivi jamani?
 
Sio CRDB wanaokuazibu ila ni serikali ya CCM ambayo haijapeleka mishahara hiyo huko
 
Sio CRDB wanaokuazibu ila ni serikali ya CCM ambayo haijapeleka mishahara hiyo huko
Ahsante mkuu, japo kwa kunipa faraja, kwakweli hali ni mbaya sana, tulizoea kila tarehe 25 hivi mishahara inakuwa kwenye account tayari, lakini mwezi huu wameamua kuni chakaza.
Hawa CCM hawa, Mungu atatulipia tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom