Mh Aboud hongera kwa kudiriki kukubali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Aboud hongera kwa kudiriki kukubali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sungurampole, May 30, 2012.

 1. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [FONT=&amp] Utamaduni wetu ni ‘kanusha, kanusha, kanusha'… tena kanusha haraka sana. [/FONT][FONT=&amp]Wote tumezoea viongozi wetu wakikanusha kila lisilo zuri linalosemwa juu yao. [/FONT][FONT=&amp]Kwa waziri wan chi ofisi ya Makamu wa Rais wa Zanzibar Mh Aboud kukubali kuwa serikali ya SMZ ilikosea katika jinsi walivyolea suala la mihadhara Zanzibar na fikiri ni kitendo cha kiuungwana. Hili hatujalisikia siku za karibuni, ni matumaini yetu kuwa pia tuko tayari kujifunza kuona ni vipi tuliweza kukosea ili lisijirudie. Kwa wale wenye makakati wa kukimbilia kukanusha wajifunze hapa kuwa haitusaidii kukanusha wakati kila mwenye akili anauona ukweli .[/FONT]
   
Loading...