Wakazi wa Salasala wavamia shamba la mwekezaji! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakazi wa Salasala wavamia shamba la mwekezaji!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Simchezo, May 30, 2012.

 1. Simchezo

  Simchezo JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kuna taarifa kwama wakazi wa salasala wamevamia shamba la mwekekezaji na kuharibu mali! source itv
   
 2. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180

  hawajavamia hao, wanachukua ardhi yao ambayo ilikuwa haitumiki.
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Habari ni finyi; Salasala ni wapi na Shamba ni la nini, ni nani Mmiliki na alipewa na nani? we need all those info

  Kwanini Ufupi wa habari??? Haitusaidii
   
 4. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tena mwenyekiti wake ni mpya atakuwa kawahamasisha hao wakazi
   
 5. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Du Simchezo!
   
 6. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  salasala ni wap jamani tunahtaji habar kamili na sio kuandika kama unakula ugoro
   
Loading...