Zanzibar zanzibar zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar zanzibar zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kwamwewe, May 30, 2012.

 1. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,316
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hivi humu JF kweli wamo Great thinkers?????

  Kila siku ni thread za Zanzibar hivi Zanzibar vile,

  Magazeti ya bara ndio chakula chake Zanzibar ??

  HIVI HUKU ZANZIBAR KUNA NINI HATA WATANGANYIKA WAPOTEZE AKILI ZAO NA KUOTA ZANZIBAR WAKATI WOTE????

  NI AIBU KUBWA NCHI YA TANGANYIKA YENYE WATU WASIOPUNGUA MILIONI 40 KUWEWESESHWA NA KAVISIWA VYENYE WATU WASIOZIDI MILIONI 1 NA NUSU

  HIVI NDIO KUIKUMBATIA ZANZIBAR NDIO UFISADI UTAONDOKA TANGANYIKA ???

  HUU NI WAKATI SISI WATANGANYIKA KUANZA KUIFIKIRIA NCHI YETU YA TANGANYIKA YENYE MATATIZO YASIYOHESABIKA NA TUWAACHE WAZANZIBAR WAAMUE WANAVYOTAKA WENYEWE

  AU KAMA TUMERIDHIKA NA UFISADI ULIOPO TANGANYIKA NA TUENDELEE KUIMBA NYIMBO ZA WAZANZIBARI
   
 2. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa mkuu Anzisha fikira za kitangayika tuko pamoja
   
 3. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,090
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  Wana JF,

  Hivi naweza pewa faida tano tu za msingi za kuung'ang'ania huu muungano mwisho wapemba na waunguja(Maana hakuna taifa la Zanzibar) wanatuona ving'ang'anizi wa muungano????

  Let them GO!!!!!!kama wanataka kurudi utumwani hilo wao tu sisi halituhusu.Jamani waacheni waende kama Tanganyika yote yenye mikoa 25++ itakuwa hiyo miwili??????

  TUJADILI BILA JAZBA
   
 4. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna faida gani kwa UK kung'ang'ania Falkland na Gibrautar? No jazba!
   
 5. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Si jambo zuri kugawa nchi kwa jazba tu za muda mfupi, patatulia tu
   
 6. F

  Fofader JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Ni upepo tu ...............
   
 7. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,938
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  kwani na wewe ni great thinker? Mbona umekuja na zanzibar zanzibar?ungekuja na Tanganyika
   
 8. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  So according to you we are great thinkers when we ignore what is happening in Zanzibar even if it means loss of peace - is it? personally i don't subscribe to that greatness - do you.
   
 9. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  hatuna shida na znz hata kidogo,hata sasa muungano mimi mtanganyika siutaki kabisa tatizo langu kwa nini mchome kanisa?
   
Loading...