Vodacom kibondo kimeo

rmambya

Member
Dec 3, 2010
50
7
Mkuu leo ni siku ya 3 tangu j.3 tarehe 28.5.12 mawasiliano ya simu katika kampuni ya vodacom hapa kibondo hakuna.kwakweli wananchi tunateseka sana.
 
Mmm na wewe kwani hapo Kibondo mtandao unaoshika ni Vodacom, hamia Airtell wewe na ndugu zako wa Kibondo wote muache kulalama
 
Back
Top Bottom