Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habari yako.shukrani kwa kutumia muda wko huu kuitembelea hii thread.sasa basi thread inakuomba useme YES kama unapenda muungano uvunjike na kama haupendi uvunjike we sema NO.thread haitegemei...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kujiuzuru Ubunge Rostan Aziz ambaye alikuwa Mbunge wa Igunga, tume ya Uchaguzi iliitisha Uchaguzi mpya katika jimbo hilo lililoko Mkoa wa Tabora na nia hasa ni kuziba nafasi iliyoachwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wiki hii imekuwa ni wiki yenye maajabu ambayo sikuwahi kuyafikifiria.Vurugu zilizotokea zanzibar kwa kuchagizwa na kundi la kiislamu liitwalo Jumuiya ya uamsho ni matokeo ya nini? Mara kadhaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
AFRICA | Facebook Mkomazi National ParkSet below the verdant slopes of the spectacular Usambara and Pare Eastern Arc Mountain ranges and overseen by iconic snow – capped peak of Kilimanjaro...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wednesday, May 30, 2012 Na Miza Chande-Maelezo Zanzibar Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed ameuhakikishia umoja wa Mapadri nchini kuwa malamiko...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inashangaza na inasikitisha sana, Mtanzania wa kwanza kuupanda mlima Everest na kufika kileleni kurudi salama alipofika kwao Kilimanjaro wakamzawadia box la maziwa! Hawa wa Kilimanjaro wakoje...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Mbunge wa Rombo, Mhe. Joseph Selasini kapata ajali mbaya sana muda si mrefu. Ajali hiyo imemtokea akiwa safarini toka Arusha kwenda Rombo na ni eneo la Bomang'ombe mjini. Watu watatu akiwemo...
21 Reactions
207 Replies
19K Views
Lini utatimiza ahadi yako ya kumuoa Mheshimiwa mwenzako Halima Mdee? Au umempata mwingine? Funguka...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nina wasiwasi kwamba kwa hii tabia iliyoanza ziku za karibuni za makundi kwa makundi ya wananchama wa CCM kukimbilia CHADEMA kama Tendwa atasema anafanya review kuangalia kama vyama...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna mhuni kaja hapa atakuwa ni magamba huyu na kusambaza eti baba yake Selasini katutoka ..Selasin mwenyewe kajibu hivi. Pamoja na Shukrani zangu kwa Waheshimiwa Wabunge,Mawaziri,na Ofisi ya...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Inasikitisha kufika katika ofisi ya serekali kama ofisi ya mkuu wa wilaya walafu unakuta katiba za chama flani cha siasa mezani badala ya katiba ya jamuhuri ya muungano na huduma katika ofisi hizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kazi pevu ya uzinduzi wa tawi la Chadema jijini Washington Dc wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamtembelea rasmi Balozi wa Tanzania nchini Marekani...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
kwa haya yanayotokea nchini hasa haya zanzibar pasipo kumrudia Mungu hakuna jipya.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naona siku hizi nguo anazofaa zinafanana kabisa na wanawake wa dini ya kiislam. kwani naona anavaa kiheshima zaidi
0 Reactions
23 Replies
5K Views
  • Closed
Nawasihi mashehe wa bara wafuate mfano wa wale wa Zanzibar; watuongoze kupinga Muungano ili Zanzibar iwe huru. Haiwezekani watu wa Tanganyika (wakiwemo mamilioni ya Waislamu) wawe wanawadhulumu...
28 Reactions
340 Replies
25K Views
Tukio la amani kuvurugia huko kisiwani Zanzibar na kusababisha mali za watu pamoja na baadhi ya makanisa kuchomwa serikali haiwezi kukwepa lawama kutokana na dalili za wazi watu kutaka mjadala wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Amenifurahisha Prof Shivji leo katika mihadhara ya katiba kwenye ITV...kumbe kejeli dhidi ya CCM ni za siku nyingi!!! Shivji anasema zamani kwenye 1970s wakiwa wahadhiri vijana pale UDSM walikuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Adolf Hitler We shall crush the Freemasons! (TIG) - YouTube
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Wafanyakazi wa nhif tumechoka na manyanyaso ya mkurugenzi mkuu. Tunaomba chadema wapigania haki mtusaidie.
0 Reactions
0 Replies
900 Views
sijui kama mmeshawahi kuulitazama hili wadau. Visiwa (tena pemba) vinaibeba cuf huku kwetu. Nawashangaa jinsi wanavyopiga kelele hapo dodoma. Wajue uhalali wao huku kwetu umeshikiliwa na uzi wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom