Kifo cha gazeti la MwanaHalisi, Je wameshidwa kuliendesha?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Ni miezi na Miezi sasa tokea nisikie na kuona gazeti hili la mwanahalisi
Hili gazeti lilileta changamoto kwa jamii na kwa wanaJF kwa ujumla katika
habari zake.

Siku hizi hili gazeti limekuwa jalala sijui ni nini kimelipata

Je Mkurugezi Mkuu Kubenea ndo kalitupilia mbali ? maana nasikia bado yuko india anatanua

Nawasilisha
 
Majungu na uzushi sio sifa ya great thinker. Nenda mtaani ukanunue nakala yako usome halafu utueleze habari zinazo andikwa na kuashiria kifo cha Mwanahalisi.
 
kla kitu kina wakat wake..muulize babu wa loliondo..
siku zote kitu knachokuja kwa kasi huishia pabaya sana(MWANAHALISI)..ni bora kitu kije taratibu kinadumu(mfano.MWANANCHI)..
 
Ni miezi na Miezi sasa tokea nisikie na kuona gazeti hili la mwanahalisi
Hili gazeti lilileta changamoto kwa jamii na kwa wanaJF kwa ujumla katika
habari zake.

Siku hizi hili gazeti limekuwa jalala sijui ni nini kimelipata

Je Mkurugezi Mkuu Kubenea ndo kalitupilia mbali ? maana nasikia bado yuko india anatanua

Nawakilisha

wanaweza kuchagua tu...kuandika mazuri kuhusu watanzania na chadema yetu, au kuandika kwa mtindo wa kung'ata na kupuliza kama sasa.
 
Ukiwa mnafki ukiwa kijana ukiwa mzee utakuwa mchawi 2. Huna haya, mnafki mkubwa we! Hata mimi ninalipata kila jumatano.
 
Ni miezi na Miezi sasa tokea nisikie na kuona gazeti hili la mwanahalisi
Hili gazeti lilileta changamoto kwa jamii na kwa wanaJF kwa ujumla katika
habari zake.

Siku hizi hili gazeti limekuwa jalala sijui ni nini kimelipata

Je Mkurugezi Mkuu Kubenea ndo kalitupilia mbali ? maana nasikia bado yuko india anatanua

Nawakilisha

Hivi na lile gazetu lenu pendwa la Jambo leo lipo?
 
Ni miezi na Miezi sasa tokea nisikie na kuona gazeti hili la mwanahalisi
Hili gazeti lilileta changamoto kwa jamii na kwa wanaJF kwa ujumla katika
habari zake.

Siku hizi hili gazeti limekuwa jalala sijui ni nini kimelipata

Je Mkurugezi Mkuu Kubenea ndo kalitupilia mbali ? maana nasikia bado yuko india anatanua

Nawakilisha

Gazeti lipo mitaani kama awali na Mkurugenzi wake yupo masomoni majuu kuongeza ujuzi
 
Dr. Kupeng'e, madaktari wa siku hizi mkoje??????

Ukimsikiliza Dr. Bana ni sawa umemsikiliza Dr. Lyatonga
Ukimsikiliza Prof. Mukandara ni sawa na Prof. Maji Marefu

Nawe waja na habari wala huonyeshi utafiti ambao kwao umejenga hoja yako......

Mkuu jenga Hoja sio Unaangalia Udr
 
kwanza gazeti lenyewe limekosa mvuto na habari zake nyingi ni za majungu na kuchafua watu tu.mwache atanue india,kazi kwao waliokuwa wanasoma gazeti lisilo makini.mtu makini husoma habari za waandishi makini.
 
Ni miezi na Miezi sasa tokea nisikie na kuona gazeti hili la mwanahalisi
Hili gazeti lilileta changamoto kwa jamii na kwa wanaJF kwa ujumla katika
habari zake.

Siku hizi hili gazeti limekuwa jalala sijui ni nini kimelipata

Je Mkurugezi Mkuu Kubenea ndo kalitupilia mbali ? maana nasikia bado yuko india anatanua

Nawakilisha

Naona wewe una lako jambo. Mbona gazeti bado linasomeka vizuri tu? chungulia hapa Gazeti la MwanaHalisi kwenye toleo la wiki iliyopita kisha utueleze matarajio yako ambayo hayakutimizwa. au lile lililotangulia...Gazeti la MwanaHalisi. La wiki hii bado liko mitaani lifuate.
 
kaka kuwepo mtaani sio jambo wala sio hoja
Je watu wanalinunua?

Siku za nyuma watu walikuwa wanakuja na "qoute" za mwanahalisi lakini siku hizi kama jalala
hata halisomeki huu ndo mwisho wake
 
Back
Top Bottom