Wazanzibari tunashukuru kwa kutusemea sie watanganyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibari tunashukuru kwa kutusemea sie watanganyika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sir.JAPHET, May 30, 2012.

 1. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kimsing,, Sizan kama kuna mtanganyika mwenye akili timam kwenye karne hii na zama hiz ana chekelea na kukeneka na kufurah et kwa kuwa ananufaika na muungano, sis wenyewe watanganyika hatutaki, tunarejea kaul ya rais wenu wa kwanza aliyeulinganisha muungano na "kot likubana waweza kulivua yakhee" nazan wakat umefika hakuna marefu yasiyo na ncha , kila jambo lina wakat na majira yake hivyo kuna majira ya kuungana na kutengana, nazan umri wa muungano na afya yake vimechokaa n wakat wa kufa kwenda akhera, kwa kweli unatukera bora tuje zenj kwa paspot!
   
Loading...