wanao fatilia habari hizi ni zaukweli?

Kibwagizo

Senior Member
Mar 21, 2012
130
8
Obama aumbuka hakumuuwa Osama. 1.Asema kachero mmoja wa CIA. 2.Aliogopa kujitafutia umaarufu. Chanzo AN-NUUR gazeti la leo may 30. My take: Kama Osama alikufa zamani kwanini Al Qaed walifanya uchaguzi baada ya Obama kuidhihilishia dunia kwamba kamuuwa Osama. Pili baada ya hapo mbona Al qaed walitangaza kulipiza alafu AN-NUUR inasema alikufa kwa ugonjwa wa kawaida.
 
aarrrgh kumbe chanzo ni hilo gazeti la wajinga....:ranger:
 
Source ina mushkeli Basi tufanye yupo hai tu ili tusibishane
 
Back
Top Bottom