idd simba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

idd simba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tmlekwa, May 29, 2012.

 1. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 185
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  jaman huyu mzee c ndo yue wa sukar mwaka uleeeeee,duh kumbe na kwenye maikarus nako yumo!
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Once a thief always a thief.
  Kama angewekwa bench toka wakati ule asingeiba tena,lakini ameshaiba wee mpaka basi...fikiria wewe mwenyewe amejidhamini yeye na wote aliokwapua nao pesa za UDA kwa mali ya 8 billion!
   
 3. aye

  aye JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  kanichosha kweli kujidhamini yeye na kuwadhamini washtakiwa wenzake kwa bilioni 8 alizozikwapua bonge la dharau ilo
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  huyu ndio mzee wa darsaalam!
   
 5. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Afungwe mpaka afie Jela. Haki itendeke. Tumechoka na viongoz malafi,wanatunyonya sana
   
 6. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kajidhamini yeye na wenzake kwa bil 8? Kweli hiyo ndiyo jeuri ya pesa kwa vitendo.
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Ana kashfa kibao tu..UDA,Sukari na pia sio Raia!!!!Pride iwe mali yetu kiama chao chaja soon
   
 8. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 185
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  duh,mkuu kweli umenikumbusha,na pride ni yake pia,mmh,tanzania 2na kaz,naomba 2015 ifike haraka.
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mwenyekit wa wazee wa dar es salaam huyo......ntasikitika sana atokee mwehu aseme amekamatwa kwa uislam wake,,,,,,,maana hatukawii kuanza kulialia hapa....huyu iddi simba asiishie kukamatwa yaan kama wamempandisha mahakamn it means that wapelelez na waendesha mashtaka wamejiridhisha kesi iende fasta na afungwe,kumbe mnafki na dhana ya UZAWA,yeye na wahindi baba moja mama moja
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  alex mgongolwa ndo wakili wake........mahela yanatia jeuri mdau
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  anatuhumiwa kwa kosa gani la msingi
   
 12. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 185
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  mwizi wa mali ya umma.
   
Loading...