Zanzibar na dhana ya 'mdai chake hupewa' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar na dhana ya 'mdai chake hupewa'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, May 30, 2012.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kumekuwa na dalili za kuendelea ama kutokea machafuko makubwa zaidi upande wa pili wa nchi yaani Tanzania visiwani, imefikia hatua nyumba za ibada kuchomwa moto na wageni hasa wanaotoka upande wa bara kutishiwa kutimuliwa. Hizi ni dalili tosha kuwa wenzetu hawautaki muungano. Mpaka sasa najiuliza faida ya aina hii ya muungano ni nini? Kwa nini tunalazimisha muungano huu usio tija? Kabla ya muungano Zanzibar walikuwa nani? Viongozi wetu wana maslahi gani kwa aina hii ya muungano ambao unaelekea kuwa na dalili zote za umwagaji wa damu? Kwa vyovyote vile, nchi moja ambao watu wake wanaamini kuwa nchi ya ni ya kidini haiwezi kuwa na muungano wa kweli na chi isiyo ya kidini. Nadhani imefikia wakati sasa Wazanzibar waachiwe nchi yao kama wanavyotaka. Wahenga wanasema; 'mdai chake hupewa!'
   
 2. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,057
  Likes Received: 1,090
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni viongozi wa CCM ambao wanamaslahi yao binafsi. Mi nadhani umefika wakati wananchi wapewe nguvu ya kuchagua wanachokitaka mamabo ya zidume fikira za mwenyekiti yalishakwisha.
   
 3. n

  nisaha Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Yaani, muungano unafaida kubwa kwa kanisa kuliko serikali yake.

  Unafikiri kwa nini makanisa na Baa zinachomwa?

  Zina chomwa kwa sabababu ndio faida za muungano katika miaka 48 ya muungano, toa faida nyingine ya muungano zaidi ya hizo! na Watalii, a.k.a wakaa uchi.

  Na wala Wazanzibari wasitishwe na hotuba za Nyerere, walioko huku tanganyika watapewa pasport kama wakenya waliopo Tanzania.  huwezi kutenganisha harakati za kudai uhuru na Uislamu Tanzania.
  Wakristo ndio waliokuwa wanapinga uhuru wakidanganywa na Wamissionary kama mnavyodanganywa nyie na wamissionary weusi, wakusanya sadaka na wachawi wavaa pete za kutoa mapepo ya uongo.

  ndio maana Waislamu wa pwani wakamshirikisha nyerere ili Awashawishi wakristo wajiunge na TANU, japo aliwasaliti waislamu na kuwakandamiza.

  SASA TUMEAMKA.

  ukombozi wa nchi hii upo chini ya waislamu, japo wanadhurumiwa na kufumbiwa macho.
   
 4. KATATANAMA

  KATATANAMA Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SASA KAMA MNASINGIZIA BAR NA MAKANISA. Nani anakunywa hizo pombe? Kama siyo ninyi wenyewe? Vinginevyo bar sizingefungwa kwa kukosa wateja? Acheni visingizio visivyo na mashiko tumieni hoja za maana kudai haki zenu. Mimi pia siungi mkono muungano kwa kuwa sioni faida zake. Mimi ni mtanganyika lakini daini hizo haki zenu kwa njia halali.
   
 5. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 180
  muungano hauna faida yoyote kwa watanganyika zaid unafaida kwazanzibar maana maisha yao yanategemea kila kitu kutoka tanganyika binafsi sijaona nawala sitaona faida ya huu muungano feki, wazanziba wangekuwa wajanja wangelazimisha muungano lkn kwakuwa wanaakili za matope wanataka kutengana. Ukweli ni kwamba baada ya kuvunja muungano wazanzibar wataathirika mpaka waukumbuke muungano, acha watukane wachome makani na mabar. Kanisa linahusishwaje na muungano mm sielew ninachoona hapa udini nataka niwambie ndug zangu wazanzibar msilete udin kisingizio muungano, uhuru watanganyika uliletwa na mwl nyerere, sijui km mwalimu nyerere ni mkristo au muislam mtanisaidia kujaza hapo! ndugu zangu watanganyika nasitujenge hoja nakusimamia kuhakkisha tunatua zigo hili la muungano tusionafaida nao.
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nimemsikia Nchimbi anasema serikali itagharamia matengenezo ya makanisa yaliyochomwa..sasa hiyo hela tunaitoa kwenye allocation ipi?hivi hii nchi ina vipaumbele kweli au watu wanaahidi tu mambo kama walevi?hukun i kulewa kwa kweli..MODs mnisamehe japo nina kadi ya njano lakini mambo haya hayavumiliki..Nchimbi sijakuelewa kwa kweli..Wewe huyo huyo ulitumia 60m kwenye maziko ya kanumba leo umekuja na hili ...I need to do my home work and dig your profile...samahani lakini kama ntakuwa nawakera wakubwa wa humu JF
   
Loading...