Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wamejaribu rangi nyingi tofauti: Na kama hii: Lakini kwa muda mrefu kulikuwa na rangi hizi ambazo bado binafsi sijaelewa kulikuwa na ulazima gani kuzibadilisha au zilikuwa na matatizo gani...
5 Reactions
23 Replies
9K Views
Jamani, leo nimeona comment kwenye Mwananchi nimeshangaa sana. Kulikuwa na comment kwamba balozi zetu za nje zipo kwa ajili ya kuomba misaada na kuratibu ziara za viongozi wa serikali katika nchi...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Chadema muazimishe siku aliyokufa CHACHA WANGWE . Iwe ni siku maalumu kuwakumbuka wanaharakati wote waliouhawa au kufa vifo vya gafla wakipigania democrasia haki na ukweli kama 1. Prf...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenye kufahamu nauli ya meli au boti tokea dar kwenda Comoro naomba anijuze,asante.
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Mr mbonde ambae ni katibu mkuu wizara ya Katiba na sheria.Hivi karibuni Amepeleka Wafanyakazi Kwenda TUME YA KUKUSANYA MAONI KATIBA MPYA..ambao vetting report zao zimeonyesha kuwa hawakufaa kwenda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inawezekana kweli chama hiki kikaanzishwa kabla ya 2015? "CHADEMA HALISI" chini ya SLAA, SHIBUDA, ZITTO , MARANDO na ABWAO? Tujadili.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanetu.com :: Elimu kuhusu Ujauzito na Uzazi, Malezi na makuzi ya watoto, Afya ya watoto, Saikoljia, Tabia na Haki za Watoto
0 Reactions
0 Replies
886 Views
After going thoroughly through JF for sometimes, I am convinced that time is up for Mods to create a single sticky thread for NAPE , NAPEISM and NAPEISTS. Let us not keep on starting New threads...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki Mkoa wa Dar es Salaam unatarajia kuendesha zoezi la kubomoa nyumba zote na sehemu za biashara zilizojengwa chini ya nyaya za umeme wa msongo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwako Mh. rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Miaka michache iliyopita uliunda TAKUKURU kuja kudhibiti rushwa hapa Tanzania na tukaipokea kwa mashaka pamoja na furaha kwa wale...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimekuwa nikimsikiza huyu mzee kwa miaka ya karibuni na kujiuliza hivi mbona amebaki kuwa mzee wa mipasho na hoja nyepesi nyepesi? hivi wanaotuma akasemee mambo mazito wanajisikiaje...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Gazeti la mwananchi limekubali kuwa miongoni mwa magazeti yaliyokubali kufumba mdomo kwa ajili ya kupata nafasi ya kupewa matangazo ya baric kila wakati. Unajiuliza tangazo la kazi la mgodi huu...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
na Mwandishi wetu, Shinyanga MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja ameituhumu kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwa kuchimba madini ya fedha na shaba...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa mjibu wa habari ambazo nimezipata, Inadaiwa watu zaidi ya 11 wamefariki dunia katika ajali ya gari la abiria aina ya Caoster inayofanya safari zake Mbeya Tukuyu hadi Kyela baada ya...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Mimi kama Mtanzania na Mwafrica nimesikitishwa sana na kuridhika kwa viongozi wetu Africa na Tanzania kuhusu usalama wa ndege zinazotumiaka Africa. Ndege ya ATC imeanguka Kigoma lakini sijasikia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
....Nakumbuka wakati bado kijana nasoma kule Zanzibar katika miaka ya 80 na kitu,kuna mwanasiasa ambae pia ni kada wa CCM wa miaka hio alikua akifanya kazi pale ofisi kuu ya chama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamanda lema jana nusura atoe machozi kutokana na kiwango cha umaskini walichonacho wakaazi wa mkoa huo. Chanzo:magazeti ya leo.
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Nakumbuka kauli ya Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Cleophas David Msuya kuwa "Majengo ya kifahari yaliyotapakaa baadhi ya maeneo kama vile tegeta,boko,kunduchi,mbezi na Bunju B" ni ya Watumishi wa Umma...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi, heshima mbele daima! Huyu jamaa alikua mbunge wa geita akashindwa na Donald Max naomba kujua yupo wapi aliwahi kuwaambia wana geita hata wakimnyima kura wake zao watampa. Mwenyekujua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ilikua ni juzi mishale ya saa kumi na mbili jioni maeneo ya mbauda ktk mji wa Arusha ambapo mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi mwenye asili ya kabila la maasai alikua akijongea kwake kwa gari aina...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom