Posted on June 4, 2012 by zanzibaryetu
Rais wa Chama Cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Awadh Ali Said akiongea katika sherehe za kuadhimisha siku ya sheria duniani katika bustani ya Victoria...
Dk shein hatembelei mtandao huu?
Kama angalikuwa anatembela binafsi naamini angaliamrsiha polisi wapige risasi za moto
watu walikouwa wakifanya fujo na kuchoma makanisa. Zaidi ya watu 100...
Naiasa serikali ichukue haraka hatua za kudhibiti siasa kali za kidini huku bara kama ambazo tayari zimezusha vurugu Zanzibar. Sheikh Ponda na mujahidina wenzake pia wanakusudia kuleta vurugu kama...
Viongozi wetu hawatuambii ukweli kwamba tatizo la Zanzibar sio kero za Muungano, ni ubaguzi wa kidini. Viongozi wanafanya hivyo kwa makusudi wakidhani kwamba wakieleza ukweli wataamsha chuki za...
OPERATION CANCELLED!!! June 2, 2012 Another faith-filled testimony of a Tanzanian lady whose mother received her miracle without even realising it!
Emmanuel! I have two...
Nimekua nikifatilia mambo yanayo endelea nchini ikiwemo kitendo cha sintofahamu katikati ya jamii yetu kwanza kabisa ni vuguvugu la kisiasa lililopo hapa nchini kwa sasa!
Kumekuwepo kesi nyingi...
Nimesikia toka jana kupitia ITV, Mh: Kafulia akieleza kuwa mbunge amabye ni mjumbe wa kamati ya LAAC kakamatwa na Rushwa. habari inaeleza kuwa rushwa kupewa na watumishi wa serikali kwenye hotel...
Na Alfred Lucas - Imechapwa 30 May 2012
GAVANA wa Benki Kuu (BoT), Profesa Benno Ndullu amekana matumizi ya kifisadi ya Sh. 760 bilioni kwa mwaka mmoja katika safari za ndani na nje ya nchi...
Ni kituo pekee cha TV ambacho kimekuwa kikiripoti M4C kwenye taarifa zake za habari tangu imezinduliwa kitaifa jijini Dar na kuendelea ktk mikoa ya kusini. Hongereni ITV.....
POmbe inayouzika zaidi mitaani ni viroba. Hicho ndio kilevi cha fastafasta kwa vijana wenye hali mbovu ya uchumi kutokana na uhaba wa ajira.
vijana wa leo wengi wao ni wavuta bange, wala unga na...
Kitendo cha kamanda Kova kuzuia maandamano ya chadema jana,kwa kisingizio cha kutokuwa na askari wa kutosha kulinda raia na malizao,na kuwapa mashabiki wa timu ya mpira wa miguu simba kibali cha...
Jana nimeangalia taarifa ya habari startv pakawa na habari kuwa waislam wameanza kuchambua katiba ya sasa ili kujiandaa kwa katiba mpya. Kuna mjumbe mmoja akawa anahojiwa yeye akawa anasema...
Wamezindua huduma mpya inaitwa Epic Moto ambayo mteja atatumia sh. 1 kwa sekunde kupiga kwenda mitando yote nchini. I hope sasa watazoa wateja kwa mtazamo wangu!
Source: TBC1 & ITV Habari...
Nimeiona hii kupitia mwananchi kwamba wateja wanaotumia LUKU wataikosa huduma hiyo kuanzia saa 4 usiku had saa 7 mchana,,,,lengo ni kuboresha mfumo wa LUKU,,,,,,,so ina maana kwa saa 15 hakutakua...
Ndugu zangu, nimekuwa nasumbuliwa sana na suala la ukabila. Ukiingia Guest House au Polisi kuna kipengele cha kuandika kabila lako. Hili jambo linaniudhi sana. Sijui wengine mna mtazamo gani?
SHERIA ZAWEKWA KARI,
WATU WANAPIGWA MPAKA KUWA VIREMA HATIMAYE KUPOTEZA UHAI.
Ndugu zangu wanajamiiforum hari bado ni tete huku machimboni,Nyaruyeye ni miongoni mwa kijiji kinachojipatia...
Jamani, tangu jana saa kumi jioni nilinunua luku token kupitia m-pesa na pesa ikakatwa. Sikupata token ila ujumbe toka kwa wakala wa Tanesco kuwa nitapata token baada ya muda mfupi. Cha ajabu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.