Hili linawezekana kweli?

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Inawezekana kweli chama hiki kikaanzishwa kabla ya 2015?
"CHADEMA HALISI" chini ya SLAA, SHIBUDA, ZITTO , MARANDO na ABWAO?
Tujadili.
 
Inawezekana kweli chama hiki kikaanzishwa kabla ya 2015?
"CHADEMA HALISI" chini ya SLAA, SHIBUDA, ZITTO , MARANDO na ABWAO?
Tujadili.

Jaribu kubainisha nini kilichokupa wasiwasi, halafu ujenge hoja. Kwa mantiki hiyo nadhani ndio mjadala utakua na mashiko. La sivyo utakuwa unataka tujadili nadharia.
 
[h=6]Vua gamba - usivae gwanda, vaa dhamira ya haki sawa kwa wote - tuikomboe tanzania pamoja. Gamba na gwanda lengo lao ni moja, kutupumbaza kwa pesa na propaganda wakati siye tunahitaji maendeleo yasiyowambwa.[/h]
 
Safari atakuwa wapi?

Naona chadema wanamsusa-susa Marando toka Safari ahamie huko.
 
Duuu...siwezi sema chochote, kwani kwenye siasa kila kitu cha wezekana...
 
hiyo habari haitatimiza lengo mlilokusudia magamba,kajipangeni upya....................................................
 
Itawezekana kwa John Shibuda akishirikiana na kibaraka wake Shonza Juliana akiwa chini ya uwangalizi wa Leticia Musore.Hao wengine wamekunywa maji ya magwanda.
 
Back
Top Bottom