..kwa mwenye taarifa.mwanasiasa huyu yuko wapi?

kalamata

Senior Member
Apr 16, 2011
144
29
....Nakumbuka wakati bado kijana nasoma kule Zanzibar katika miaka ya 80 na kitu,kuna mwanasiasa ambae pia ni kada wa CCM wa miaka hio alikua akifanya kazi pale ofisi kuu ya chama kisiwandui,nakumbuka alikua akitumia Gari 504 namba zake CCM 57.huyu ni mzee ALLAN KHERI.waungwana naomba taarifa yuko wapi mzee wetu huyu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom