Mwenyekujua Ernest Mabina aliko anijuze | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekujua Ernest Mabina aliko anijuze

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nkomelo, Jun 5, 2012.

 1. n

  nkomelo JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanabodi, heshima mbele daima!
  Huyu jamaa alikua mbunge wa geita akashindwa na Donald Max naomba kujua yupo wapi aliwahi kuwaambia wana geita hata wakimnyima kura wake zao watampa.
  Mwenyekujua nitafurahi kujua aliko na anajishughulisha na nini!
   
 2. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Yuko hapa dar lakini bado m/kiti ccm geita.
  Yeye siku zote tangu awali ni usalama wa taifa na anafanya biashara ya mbao na anaviwanda vya mbao na majumba ya kupangisha mpaka mbagala.
   
Loading...