Umaskini wa watu mtwara nusura umtoe Lema machozi

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Kamanda lema jana nusura atoe machozi kutokana na kiwango cha umaskini walichonacho wakaazi wa mkoa huo.
Chanzo:magazeti ya leo.
 
Watu wa kusini ccm iliwafanya waonekane kama watu wa kale
sio kama maskini tu ni kama msukule. kwa kweli wanatia huruma watu wa kusini. ikataeni ccm na ufisadi wake wote mpate kujikomboa enyi watu wa kusini. mnataka kuishi kwa taabu hadi lini?
 
sio kama maskini tu ni kama msukule. kwa kweli wanatia huruma watu wa kusini. ikataeni ccm na ufisadi wake wote mpate kujikomboa enyi watu wa kusini. mnataka kuishi kwa taabu hadi lini?

Nishakua kwenye baadhi ya mikoa ya huko, kunatia huruma sana. Inatakiwa waikatae sisiem na uzao wke wote
 
Kamanda lema jana nusura atoe machozi kutokana na kiwango cha umaskini walichonacho wakaazi wa mkoa huo.
Chanzo:magazeti ya leo.

Unakiherehere na vichwa vya habari? Elewa JF hatupost kipuuzi hivi, unakurupuka kama umebanwa na tumbo la kuendeshaaaa!!!!!
 
lakini tujiulize kwani ccm ndo inamfanya mtu asishike jembe akalime...Mikoa ya pwani baadhi ya watu wanatabia za kimwinyi yaani kutopenda kujishughuli wala kuonyesha juhud katika kazi zao..
Kama ukishindwa kutumia nguvu yako na akili yako unadhan nani atakakukomboa kutokana na umaskin..
 
Lakini inabidi tufanye uchunguzi wa kina kuhusu chanzo cha umasikini wa mikoa kusini.je ni ardhì yao haina rutuba au ni wavivu?Je wamewekeza vipi katika elimu na afya?Na swali la mwisho je miundombinu inayounganisha mikoa kusini na na sehemu nyingine za Tanzania au kusini na nchi za kusini(msumbiji,malawi na zambia) ziko za kuaminika ili kuongeza mzunguko wa pesa?
 
Hili la huko Mtwara siyo kwamba ni nusura imtoe machozi,ni kwmb ilimtoa machozi.
 
Watu wa kusini ccm iliwafanya waonekane kama watu wa kale

Unamaanisha waonekane kama watu wa zama za mawe? zama za kati au zama za amwanzo?

Teh teh teh. Inasikitisha kweli. Anakotoka Nkapa!
 
Kule tulilzimisha kuchukua vipande vya ardhi ilipaswa kuwa malawi,maendeleo kuwafikia inachukua muda,ni kama ilivyo kigoma, na baadhi ya maeneo ya kagera.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Saa ya ukombozi imefika!
Shime wana lindi na mtwara hakuna kubaki nyuma.Enough is enough
 
Watu wa kusini ccm iliwafanya waonekane kama watu wa kale

Kama CCM ilifanya wa kusini wawe masikini basi wa kaskazini walio matajiri inabidi waipende CCM!

Umasikini upo kila kanda, kaskazini pia wako masikini wa kutupwa na wengine wanakufa njaa.
Basi tu ukishapenda vyama/viongozi kila atakachosema hata kama ni pumba unajikuta unasifia tu bila kufikilia.
 
Huko kusini ni kugumu
hata wabunge naona kama wanapata hali ngumu
sana kuwa waanzie wapi waishie wapi, kule utajua kama siyo
tz.
 
Kama CCM ilifanya wa kusini wawe masikini basi wa kaskazini walio matajiri inabidi waipende CCM!

Umasikini upo kila kanda, kaskazini pia wako masikini wa kutupwa na wengine wanakufa njaa.
Basi tu ukishapenda vyama/viongozi kila atakachosema hata kama ni pumba unajikuta unasifia tu bila kufikilia.

Watu wa kaskazini ni wajanja, wanajiongoza bila hata ccm, ndiyo maana akina Jk wanakuja kwa timing kanda ya kaskazini! FIDIVIN
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom