TOPIC:mwenye 'CV' KATIBU MKUU WIZARA YA SHERIA NA KATIBA

khasanii_kharimu

New Member
Jun 5, 2012
4
0
Mr mbonde ambae ni katibu mkuu wizara ya Katiba na sheria.Hivi karibuni Amepeleka Wafanyakazi Kwenda TUME YA KUKUSANYA MAONI KATIBA MPYA..ambao vetting report zao zimeonyesha kuwa hawakufaa kwenda Tume.Na wale ambao Majina yao yalionyesha wako Safi na wangeweza kwenda kasi moja na tume hyo hawakwenda.
Mwenye CV ya huyu Jamaa aimwage hapa.
 
Back
Top Bottom