Nauli ya meli au boti toka Dar kwenda Comoro

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Mwenye kufahamu nauli ya meli au boti tokea dar kwenda Comoro naomba anijuze,asante.
 
Fika katika ofisi za Ubalozi wa Comoro pale Oysterbay karibu kabisa na International School of Tanganyika-Karibu na Kilima Nyege! uliza hapo utapewa maelezo yote. Kumbuka mishikaki kule Comoro inaitwa mishakiki! Wanakula sana mabawa (vipapatio). Zuru visiwa vya Anjouan, Moheli, Mayote na Grande Comoro...Tehe tehe tehe tehe!!! Umenikumbusha mbali sana. Kuna mabinti wazuri sana!!! The tehe tehe!
 
Naona umeamua kuongeza post tu.
 
Back
Top Bottom