JAMANI NISAIDIENI NATAKA KUJUA HII KAMPUNI YA TIGO INAYOIBIA WANANCHI WA TANZANIA inamilikiwa na nani huyo jamani,maana kampuni ni weziiii sijapata ona tena wizi wao wa wazi wazi nadhani ni zaidi...
Nashindwa kuelewa tunapoenda kimaadili katika nchi yetu na je ni ujumbe gani tunaoupeleka kwa vizazi vijavyo?
Ninaposikia watuhumiwa wakubwa wa ufisadi wakipewa vyeo bungeni na kwenye vyama vyao...
Nimetafakari kwa muda mrefu, ni miongoni mwa watu ambao kwa kiasi
Kikubwa nimekuwa nikiilaumu idara hii nyeti kuwa haifanyi kazi yake
Ipasavyo, nimegundua kuwa siko sahihi.
Ninachokiona...
nimepata malalamiko kuwa askari ambaye ni ispekta wa polisi amae alipangiwa kufanya kazi ya polisi jamii mwaya hafanyi kazi kituoni kwake na badala yake anaendesha mashtaka mahenge mjini wilayani...
Mwenyekiti wa chama cha sau amemuunga mkono mhe wenje na kumutaka mbatia aachie ngazi nafasi ya mwenyekiti taifa -nccr ili kuimarisha upinzani. Amesema kwa sasa hawezi kumushirikiasha...
Wanajamvi muhali gani yawezekana siko sawa ktk hili hasa kwamwenendo nionavy mimi mara nyingi ifika siku ya mwalim jk tunaona hasa ktk tv hotuba zake kwa sauti na video kwakumuenz mzee wetu lakini...
Siku chache baada ya UVCCM kudai kuwa uamsho wamo serikalini, taasisi hiyo ya Uamsho imeibuka na kujibu hoja hizo kama ifuatavyo:
---------
Tunawajibu Stiphen Wasira na UVCC
Jana tulisikia kauli...
Jana nilikuwa kwenye kijiwe changu hapa Morogoro. Nikabahatika kuwakuta waandishi wa habari wakigida kinywaji mahali. Si unajua kwa vya bure jamaa wanaongoza nchini. Nasikia ati walikuwa na semina...
Jana tarehe 5/06/2012 ilikuwa ni siku ya ufunguzi wa mashindano ya UMISSETA kimkoa(Arusha) ambayo yanafanyika chuo cha ualimu Monduli,mgeni rasmi alikuwa ni mkuu wa wilaya ya Monduli cha...
Wana jf,nimesoma kwenye vyombo vya habari sijaona kama serikali Elimu imeipa kipaumbele.Mimi nadhani serikali imeamua kuachana na Elimu.Naomba mawazo na mchango kwa hili.
Jamani naomba a detailed CV ya Charles Charles mara mwanajeshi, mara kwenye magamba, ni nani hasa huyu binadamu. Siku hizi anaandikia gazeti la Jamhuri, ana Column huko...
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya Mkoani Mara, kupitia askari wake wa FFU limelazimika kutumia nguvu pamoja na kuwatisha kwa silaha wananchi na waombolezaji wa marehemu, Mgosi...
Nilikuwa nafatilia taarifa ya habari ya TBC 1 jana usiku, kati ya habari zilizonivutia ni ya serikali kupitia upya mkataba wa kampuni ya Startimes kutokana na malalamiko ya wafanyakazi kunyanyaswa...
Jana nikiwa natuka Arusha mjini naenda sehemu inayoitwa Maji ya chai waliingia jamaa 2 kwenye hiyo daladala wakawa wanapiga stori wakikisifia kitio flani cha polisi kuwa Arusha nzima kinaongoza...
Hii ni habari ya kusikitisha na nimeshindwa kuelewa HAKI iko wapi ama nani ana HAKI.
Siku ya Jana katika jengo la PPF PLAZA mwanza Maaskari wamempa kipigo Meneja wa Jengo hilo wakati walipokua...
Wana JF tulikuwa na mchakato wa kufungua tawi la CHADEMA online, na tulifika wanachama zaidi ya thelathini. Mchakato uliishia wapi? Mwenye kumbukumbu anijuze!!!!
Wazanzibar wanayo serikali yao,bajeti yao,bendera ya taifa yao,rais wao, wimbo wa taifa lao, sasa kupitia wana uamsho wanataka ukristo zanzibar uwe mwiko, JK wetu hataki mjadala wa eti muungano...
Katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015, tutashuhudia tabaka la vijana waliozaliwa baada ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini wakipiga kura kwa kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.