Gazeti la Mwananchi na hongo toka Mgodi wa Barrick | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Mwananchi na hongo toka Mgodi wa Barrick

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Godwine, Jun 5, 2012.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Gazeti la mwananchi limekubali kuwa miongoni mwa magazeti yaliyokubali kufumba mdomo kwa ajili ya kupata nafasi ya kupewa matangazo ya baric kila wakati.

  Unajiuliza tangazo la kazi la mgodi huu linalotolewa kila siku kwa takribani miaka miwili sasa na linalochokua kurasa tatu na zaidi ni sababu gani?

  Huu ni mpango wa hongo kwa gazeti la mwananchi kwani na gazeti la mwananchi limekubali kuhongeka na kufungwa mdomo toka kwa mgodi huu na kuacha kuandika mambo ya dhuruma yanayofanywa na mgodi huu.
   
 2. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahasante sana kwa taarifa. Naomba kama unaweza kufafanua kidogo, Magazeti mengine yalihongwa nini? kwani Mwanancni wamehongwa Matangazo ya kazi. Hayo mambao ya dhuluma ni yepi? ili waandishi wengine walioko hapa jamvini waweze kuyachukua na kuyafanyia kazi.
  asante
   
 3. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli usiopingika,
  hawakuanza jana wala juzi,ni muda mrefu.
  Janja yao imeshagundulika sasa,
  nilikuwa sijui sababu,sasa nimegundua loo
   
 4. G

  Godwine JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Taifa linapoteza pato kubwa kutoka katika ukwepaji wa kodi wa mgodi huu, kuna manyanyaso kwa wafanyakazi wazalendo kwani wanachukuliwa kama mbwa ndani ya migodi, kuna tofauti kubwa na ubaguzi wa wazi wazi kati ka ngozi nyeupe na sisi weusi.

  Kuna uharibifu mkubwa wa mazingira na umwagwaji wa sumu unaoingia kwenye vyanzo vya maji na mazingira.

  Na namna ya kuyaziba mdomo yote haya ni hongo kwa magazeti yetu likiwemo Mwananchi linalojinadi kama liko mstari wa mbele katika kuweka wazi mambo yanayoendelea.
   
 5. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alaaaaaaaaaaaaaaaaahhh!!! Kumbeeee. Ndio maana naona kila siku matangazo ya migodi hewani kwenye Mwananchi. Na pia habari za undani kuhusu migodi hazitolewi kabisa kumbe hiyo ndio sababu!!!.

  Kama ni hivyo basi dhambi hii itawatafuna Mwananchi milele labda wajierekebishe sana. I hope Tido Mhando atalifanyia kazi hili.

  Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  duh,,,,haya MCL mpo ?????je mtoa mada hao wasopewa tenda ya matangazo hawajahongwa?????HABAR LEO,NIPASHE,MTANZANIA,TANZANIA DAIMA????
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nami nasubir jibu lake,,,,
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mi bado sijaiamini hii ishu,,,so nasubir mtoa mada aje na ushahidi mzuri zaidi
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mi bado sijaiamini hii ishu,,,so nasubir mtoa mada aje na ushahidi mzuri zaidi
  ingawa ni kweli hata gazeti la jana hawa jamaa wametumia Mwananchi kutangaza ajira
   
 10. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naona JF inakuwa kijiwe cha kupika majungu sasa. Hivi nani anamhonga mwenzie hapa, anayetoa kurasa tatu za gazeti au anayetoa fedha?????? This is business for God's sake!!!!!!!!!
   
 11. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mwanainchi jibuni hili
   
 12. k

  kiwososa JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,083
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  What kind of business is that??!!!!!!! tangazo la kazi linajirudia almost six months!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. w

  wade kibadu Senior Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mjomba tido ndo kwa kutililika kuweka wazi uozo wa madini.
  Nchi yetu inautajili mkubwa sn wa madini so kama hao wahuni tutawakubadili tunajizika wazima watanzania if we dont know be4.
  Watanzania hasa ninyi wana habari naomba muwe wazalendo kuiokoa nchi yetu.
  Sababu kama we utapewa höngo kuiujumu nchi je itabakiwa na nini miaka ijayo na vizaz vijavyo.
   
 14. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Uamuzi wa Kutangaza au kutotangaza na Chombo fulani cha Habari upo kwa Mtangazaji (Advertiser).

  Hakuna sheria au sera yoyote ile inayomlazimisha mtangazaji (Advertiser) kutumia au kutotumia chombo fulani cha habari bali ni makubaliano tu baina ya chombo na mtangazaji mwenyewe.

  Mbona Emirates wanatangaza na Mwananchi na The Citizen peke yake? Je na wao wanaufisadi?
   
 15. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ikiwa wabunge nao wanaomba na kula rushwa waziwazi, halafu wanawafukuzisha kazi mawaziri kwa kuila rushwa hiyo hiyo, CCM nayo ikihakikisha inafuta neno "rushwa" kwenye kamusi na kulibadili kwa neno "Takrima", halafu wakizodolewa wanaibadili tena kisheria na kuipiga marufuku ila wanaiendeleza kwa njia nyingine, Barrick ndio wanaoifadhili CCM na watu wake ili waendelee kunyonya nchi na kutoa sio zaidi ya 3% ya "mapato" yaliyowekwa kwenye maandishi tu, magazeti yakale wapi, ukijua kwamba magazeti yenyewe mengi wanaoyamiliki ni walewale? Nashangaa Barrick hawaji kwangu na kunihonga pia niwatetee. Ningejenga Richmond kijijini nilikozaliwa iwe legend nikifa.
   
 16. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  kAZI KWELI KWELI
   
 17. f

  fered mbataa JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 240
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio mgodi mmoja tu wenye dhuluma migodi yote canda ya ziwa ina dhuluma hasa GGM utadhani watanzania ni manamba.
   
 18. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inawezekana jamaa akawa hana uhakika vizuri lkn ata kwa ufikiri finyu hii imekaa kirushwa rushwa wajemeni....kwa ufupi wenzetu wanaita a questionaable transaction capable of attracting suspicion!
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  wakulaumiwa sio mwananchi....
  Wakulaumiwa niviongozi wenu na 10% wanazopata
   
 20. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Hivi mnapolituhumu gazeti la mwananchi kwamba limechukua rushwa ya matangazo toka Barrick ili wasiandike kitu gani ambacho ni kipya..? Habari zote za migodi ya hapa nchini hakuna asieijua na Mwananchi ni miongoni mwa vyombo vichache vya habari ambavyo vilisaidia kueneza habari hizi mbovu za migodi yetu ikiwamo ya Barrick.. Acheni kugeuza JF kama kijiwe cha kahawa jamani.. Kuna serious issues za kujadili hapa..
   
Loading...