Kikwete, Vunja TAKUKURU! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete, Vunja TAKUKURU!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkereketwa_Huyu, Jun 6, 2012.

 1. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Kwako Mh. rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Miaka michache iliyopita uliunda TAKUKURU kuja kudhibiti rushwa hapa Tanzania na tukaipokea kwa mashaka pamoja na furaha kwa wale waliokurupuka kwa kuundwa chombo kipya. Ni dhahiri kabisa hapa Tanzania kuwa baadhi ya mawaziri, makatibu wakuu, ma dc, ocd, rpc, na wengine kibao ni wala rushwa lakini mpaka leo hii naandika makala hii sijapata sikia hawa watu kukamatwa na TAKUKURU. Utakuja sikia tu mtu asiyefahamika kakamatwa, au mtu wa chini kabisa mla elfu 10 mpaka 100,000 kakamatwa wale wala mamilioni wako wanapeta kulikoni? Kwenye wizara yetu (mafichoni) waziri na katibu mkuu wake ni wala rushwa sana, na baadhi ya wafanyakazi wengi tu tuliandika barua na kutia kwenye sanduku la maoni mpaka leo hii hawa jamaa bado wanapeta na tena sasa wana hasira zaidi nasi, je walitonywa na TAKUKURU kuwa tunawalalamikia? Kwa mtazamo wa wengi, TAKUKURU is not fair as they are only there kula na kunyanyasa watu wasiokula nao. Sasa kwa nini Mh. rais usiue hii TAKUKURU na utuachie madaraka sie wananchi tufanye kazi kama Rwanda? Kule kila mwananchi ni askari wa mwenziwe katika kupambana na rushwa na waangalie sasa waliko. Ile nchi ndiyo nchi inayokuwa kuiuchumi zaidi hapa Afrika because of good governance, why not US?
   
 2. k

  kichakare Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  una bahati ulipata dhamana. NANI KAKUAMBIA TAKUKURU INAKAMATA WAHALIFU BILA USHAHIDI? WANAFANYA KAZI KWA MUJIBU WA SHERIA SIO MAJUNGU.
   
 3. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu nakupa pole sana kumbe hufaamu kuwa takukuru ni taasisi ilio undwa maalum kwa ajili ya kubariki rushwa.
   
 4. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Unataka Takukuru ivunjwe hujui ndio inalinda na kubariki rushwa kwa sisi vigogo tuliopo madarakani kwani toka tumeianzisha hujasikia ndio tumezidi kutoa na kupokea rushwa ingawa kodi zenu ndio mishahara yetu.hata mpigane rushwa kwetu ni kwa mslai ya chama chetu kwani hujui kwanini tuliua azimio la kule lema alipokuwa mbunge
   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Duuuhhh hauhitaji dokta kuwaambia kuwa nyie mnataahira ya ubongo!
   
 6. b

  bmosses Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mukuu wanafanya kazi kwamjibu gani? nawakati wao wenyewe niwala rushwa mie naona nibola itenguliwe 2 tujue moja kuwa hatuna chombo kama hicho maana hakina msaada wowote
   
 7. b

  bmosses Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mukuu wanafanya kazi kwamujibu gani? Nawakati wao wenyewe niwala rushwa mie naona bola itenguliwe 2 tujue hatuna chombo kama hicho maana mie naona hakina maana yoyote ile
   
 8. b

  bmosses Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mukuu wanafanya kazi kwamujibu gani nawakati wao wenyewe niwala rushwa mie naona bola kitenguliwe 2 tujue hatuna chombo kama hicho maana naona hakina maana yoyote ile
   
 9. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Majungu ni nini na ni kitu gani kinachotofautisha majungu na taarifa na ni nani anayefanya hivyo? Ni dhahiri sasa kuwa TAKUKURU inangojea amri kutoka ngazi za juu zaidi, ndipo ichukue hatua!!
   
Loading...