Wasira na hoja nyepesi

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Nimekuwa nikimsikiza huyu mzee kwa miaka ya karibuni na kujiuliza hivi mbona amebaki kuwa mzee wa mipasho na hoja nyepesi nyepesi? hivi wanaotuma akasemee mambo mazito wanajisikiaje wanapomsikiliza?

Mfano juzi katika dakika 45 wiki hii nilimsikia akimwaga pointi zifuatazo kwa kujiamini:

1. Wanasema movement for change hawasemi which change kwa sababu hata kurudi nyuma ni change..
2. Kujibu swali juu ya kuzomewa anasema ..wakitokea katika mkutano wa watu 6000 wakitokea walevi watatu wanne wakaanza kupiga kelele unasema nimezomewa kwani mimi ndiyo nimewanywesha?

3. CDM waongo wanasema wanachama wa CCM 10,000 wamehamia CDM ina maana hatuna tena wanachama Arusha… (hapa una maana wahama lakini bado hawajaisha?)

Najiuliza Je, hii ni ishara ya CCM kukosa msemaji mahiri au ni kukosekana hoja?
 
Kwa sasa ccm ni kama kupe!!
Ng'ombe anachinjwa... kupe hana habari!!!
Ng'ombe anachunwa... kupe hana habari!!!!
Ngozi inawambwa... kupe hana habari!!!!
Ngozi ikianza kukauka, kupe ndo anastuka!!!!"

Alaa! Huyu ngo'mbe kumbe keshachinjwa!!!
 
ukimwangalia wasira alivyo mkubwa na ule wajihi wake, ni kichekesho anavyoongea pumba
 
Kwa ujumla ccm wamechanganyikiwa kama wale wajenzi wa mnara wa babeli.

Nape akiagiza nyundo wassira analeta kisu,
jk akiagiza msumari mukama analeta sururu,
pinda akiagiza chepeo lukuvi analeta fekeo,
msekwa akiagiza bawaba mkapa analeta koleo,
kingunge akiagiza msumeno malecela analeta patasi.
Hapa lazima jengo lidondoke.
 
du hiyo kweli
 
Daah! Aisee, kweli umefikiria sana jombaa.. I like that!
 
Kwa sasa ccm ni kama kupe!!
Ng'ombe anachinjwa... kupe hana habari!!!
Ng'ombe anachunwa... kupe hana habari!!!!
Ngozi inawambwa... kupe hana habari!!!!
Ngozi ikianza kukauka, kupe ndo anastuka!!!!"

Alaa! Huyu ngo'mbe kumbe keshachinjwa!!!

Hiii kali na wala sijawahi kuisikia.

Lakini Wassira kwa jinsi alivyoongea majuzi, niliona hawa jamaa ndiyo wanaompotosha rais kwa kutomwambia ukweli hadi hali inakuwa mbaya. Yaani anashindwa kuona ukweli kazi yake ni kubeza tu.
 
RAIS ATAKAPOMSTUKIA WASSIRA KAMA ALIYOMSTUKIA JUMAM KAPUYA ITAKUWA TOO LATE!

JK fukuzia mbali hili jitu wassira linakushauri vibaya still trapped in the PAST! i COME FROM MARA BUT THIS IS NOT THE RIGHT MSHAURI WAKO ANAISHI KWA MZAHA MZAHA TU! UKITAKA KUJUA HILO PAWEPO NA UCHAGUZI MDOGO BUNDA HUTAMSIKIA LABDA UTAMKARIBISHA IKULU KUNYWA KAHAWA NAE! HAWA NDIO WANAICHANGIA WAO M KUFA KWA KASI! WANA CHUKI KWA WAPENDA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom