Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nashangaa kila siku wanajitangaza wao mimi leo nimeamua kujitanganza ya kuwa mimi ni freemason
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Je watarusha matangazo ya nyinyiem, au hawatarusha. Ikumbukwe tbc ni tv ya taifa, kwa hiyo maamuzi ya kurusha ccm kutoka cdm-sqr yataacha maswali kwa nini hawakurusha ya cdm.
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Mwenyekiti wa NCCR Jemus Mbatia ametajwa kwa mara ya kwanza na Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na kuwakataa Wabunge wake waliiopewa Mashart na Rais Kikwete kuhakikisha kwamba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
huwa najiuliza hawa ccm wanaagizaje mzigo wa sare\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\/ huwa wananunua nyingi na kuweka store au kila likitokea jambo wanapiga simu china faster? maana nasikia kesho wanataka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Mada ya Uwajibikaji kwenye Kipimajoto Live Now. Tutazame na tutoe maoni yetu. Karibuni wadau.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf nikama hawa jamaa wa Tanesco wameanza mgao wakimyamya!Hii nikutokana namakatizo yaumeme yanayoendelea maeneo hasa huku kimara nimesikia kigamboni wanapiga mayowe pia sijui nanyi wana Jf...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
REDET imekuwa ikikusanya kura za maoni (opinion polls) kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa. Kwa muda mrefu sasa, REDET hawajafanya utafiti. Tunaomba sasa REDET iamke na kukusanya maoni ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani nilipambana magamba kupinga matumizi mabaya ya raslimali za nchi hii sikusikilizwa.,...nikaamia magwanda nikisisitiza msimamo uwe katiba ivunjwe mwaka huu maana nhi inaangamia naambiwa eti...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waheshimiwa, Natarajia kusafiri kwenda Singapore hapo karibuni, naomba mtu ambaye ajaua taratibu za kupata visa ya kwenda huko maana hawana ubalozi hapa bongo. Nitashukuru kupata ushauri huo...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Jamani, mnapojadili swala la kuvunjika kwa muungano kaeni fika mkijua kuwa wengi tutaathirika. Baba yangu ni Msukuma na mama yangu Mpemba, je mimi niende wapi? Najihisi kukataliwa kila sehemu ya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Viwanja 250, maombi 700, kila ombi elfu 20, kinondoni kunani??
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu yeyote mwenye cv ya Nape atupie hapa au yeye mwenyewe aweke hapa maana nina wasiwasi na uwezo wake wa kufikili kutokana na kauli anazotoa
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Ni Doctor Reginald Mengi yule mmiliki wa makampuni ya Ipp media ameamua kuwajali wafanyakazi wake wote kwa kujali maslahi yao. Ni kwamba sisi wafanyakazi wa kawaida ametupandishia mshahara. Kima...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
tafadhali kwa anaejua itasikilizwa lini atujuze,na vipi kuhusu majaji wanaorudia hiyo kesi huwa wanapatikana vipi,yaani ni utaratibu gani huwa unatumika kuwateua?kwa harakaharaka ukiangalia hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lazima niifikisha hamasa ya vuguvugu la mabadiliko Songea ingawa bado makamanda hawajaja japo naimani watakuja soon!
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika hali ya machafuko amma ya kiasa amma ya kijamii kwenye nchi, waandishi wa habari na hususan wahariri wa magazeti wanatakiwa wawe makini sana na kuwa mstari wa mbele kutuliza machafuko kwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari hii nimeiona Michuzi nikaona kuwa niilete huku maana wigo wake ni mpana zaidi. Kama kuna ndugu au jamaa wa Sadock Mgamba wajitokeze. MICHUZI: msaada tutani: ndugu wa mdau sadock mgamba...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Gazeti la jambo leo la tarehe 8 Juni 2012 limeandika "LOWASA ACHANGISHA BILIONI 421". Ukifungua ukurasa unaofuata kwenye content utakuta wameandika hivyohivyo bilioni 421. Lakini baadaye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Toka jana usiku umeme hamna tegeta Dar kuna mwenye taarifa maana simu za tanesco zote ziko buzy
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Pesa zilizokuwa zimetolewa na benki kuu kama fidia ya kuzihamisha ofisi za makao makuu ya Idara ya afya ya jiji la Mwanza kutoka eneo la Makongoro (maarufu kama Kliniki) zimetafunwa na mkurugenzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…