Habari wana jamvi,ki ukweli TBC wamepoteza uelekeo na maana ya kuanzishwa kwao.Ila kuna azina ya waandishi na watangazajia ambao wapo nao,mmoja wao ni huyu mtangazaji wa mkoa wa Mara Mr Greyson...
Ndugu zangu mmelalamika sana ooh mara yule mama wa Tgnt kila siku analalamika tu peke yake sasa mkae mikao ya kula kitu hicho kinakuja kwa wale ambao.......
1.Wanaolala nje kwa kuhofia kupigwa...
Wakuu juzi nimepita kivukoni nikienda Mjimwema na baadaye kurudi tena mjini, kwa kweli ni balaa. Pale kwenye maeneo ya kupumzikia kusubiri kivuko pamenifanya nishangae na kujiuliza ikiwa hii nchi...
Ni matumaini yangu mko poa wana jf.
Napenda kupata ufafanuzi juu ya uamuzi wa sumatra kutaka usafiri wa noar usitishwe.hii ni kwa sababu vijana wengi walikuwa wamepata ajira pia watu wengi wakuwa...
Siku za hivi karibuni nilisafiri kwenda Mwanza na Bukoba kwa kutumia bus. Wasafiri tulipatwa na adha nyingi njiani ukianzia kusimamishwa bila mpango na maaskari usalama barabarani, mizani, na...
Fidelis Butahe
WATOTO wenye umri chini ya miaka 18 wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali au waliohukumiwa huwekwa sehemu moja na watu wazima katika Gereza la Segerea, Dar es Salaam na baadhi yao...
Nimepokea sms toka 0757087398 inasema " Mheshimiwa Dakta Mwakyembe waziri wa uchukuzi kwanza kabisa poleni sana kwa msiba wa aliyekuwa mkurugenzi wa DTS mhandisi Saad Fungafunga alale pema peponi...
MKUU wa Intelijensia za Jinai katika Jeshi la Polisi nchini, Hussein Laisseri ametaka jamii kuwa makini na dada poa ambao hutumia udhaifu wa wanaume kuwalisha mihadarati na kuwaibia. Kauli...
Heshima mbele wakuu.
Kuna jambo sijalielewa linafanywa na hii wanaita redio ya watu Clouds FM,leo mchana baada ya kipindi cha Njia Panda limerushwa tangazo la mpira kati ya TAIFA STARS VS GAMBIA(...
MH ZITTO akiwa ndani ya manispaa ya IRINGA akifafanua kuhusu bajeti mwaka huu na jinsi ambavyo itakavyo kataliwa na Bunge unless otherwise ibadilishwe alielezea jinsi deni la Taifa tokea mwaka...
wanajf kama kuna mtu ana habari za kinachoendelea kuhusu urejeshwaji wa wanyama waliotoroshwa maana isije kuwa makelele ya bungeni ndio mwisho! kama walitoroshwa kimagendo najua hata sheria za...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ameiponda hotuba ya bajeti iliyosomwa bungeni juzi, akisema inaonyesha wazi kuwa serikali ya Chama cha Mapinduzi...
WanaJF huyu jamaa anaitwa Hussein Bashe ni kijana anaelelewa na mafisadi. Pia kwa taarifa zinazoendelea kufanyiwa uchunguzi ni kwamba amekuwa agent wa kuchafua watu kwenye vyombo mbali mbali. Sasa...
Hodi jamvini.
Leo naomba tujadili suala la kuabudu bila kuwabughudi wengine.
Tanzania ni Secular state (haina dini) kama nchi nyingi duniani. Hili ni jambo bora na linatakiwa tulilinde kwenye...
WanaJF wenzangu habarini za jioni.
Nilikuwa natafakari juu ya jambo hili.Hebu tazameni jirani zetu wakenya walivyopiga hatua ktk suala zima la maendeleo ya nchi yao hata wakisimama kuendelea na...
Wana JF, kumepita gari ya matangazo huku Tabata kwamba kesho kutakuwa na mkutano wa CDM pale uwanja wa Tabata shule.
Mjuze mwenzako hasa wa jimbo la Segerea tuhudhurie kwa wingi tusikie mikakati...
Muu hali gani wana jamvi, ktk tafakari yangu ya leo nimejaribu kutafakari kwa kina kwanini ccm inashindwa ktk mambo yake mengi kama ahadi zao za uchaguzi mkuu mwaka 2010 kushindwa kuzitimiza...
Katika karne ya 21 ni kitu cha kushangaza sana kusikia kwamba kuna baadhi ya watanzania bado wanazingatia mila ambazo kwa kiasi kikubwa zina athari katika mazingira tunamoishi pamoja na jamii kwa...
Kulikuwa na mshikeshike wa DECI na watu walipanda mbegu kusubiria kuvuna baada ya muda mfupu
Watuhumiwa walishikwa na Account zao zikagandishwa,
Ipo wapi ile pesa ya DECI na watuhumiwa hatima...