Re:usitishwaji wa gari za noah ni usanii wa kisiasa

chusemale

Member
Jun 9, 2012
11
2
Ni matumaini yangu mko poa wana jf.

Napenda kupata ufafanuzi juu ya uamuzi wa sumatra kutaka usafiri wa noar usitishwe.hii ni kwa sababu vijana wengi walikuwa wamepata ajira pia watu wengi wakuwa wakisafiria ktk maeneo mbalimbali ya nchi.naomba lijadiliwe kwani leo mkurugenzi wa sumatra anafanya kikao na maafisa wake wa biasha mjini moro
 
Huu ni uhuni tu!! Kama serikali ingeamua kustisha usafiri huu ingetoa mda wa kutosha (anglau niaka 2) ili kutoa mwanya kwa wale ambao ndo kwanza walikuwa wameingiza magari yao!!

Serikali ilishagundua "umaskini wa Mtanzania ndo mtaji wao!!" Hivo ndo maana Mtanzania anakandamizwa hata pale anapopata upenyo wa kujikwamua!! Hili liko wazi maana serikali haishindwi kudhibiti ajari za Noah!!
 
Back
Top Bottom