Aota matiti kwa kutumia ARVs

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Ni mkazi wa bagamoyo,aitwaye HAMIS TANGA,ameota matiti baada ya kutumia dawa za kupambana na virusi vya ukimwi
sosi:mwananchi
 
Nimeshindwa kuelewa kuwa alitumia ili kuongeza nguvu za mwili au na yeye ni mtumiaji kutokana na maradhi yanayomsibu
 
Tatizo haya mambo yetu ya kupeana dawa bila kuelimishana athari zake ndo haya sasa! Hapo nadhani huyu mwananchi ana haki ya kuishtaki mamlaka ya dawa na chakula kwa kutotoa tahadhari ya athari za matumizi ya dawa hizo! Pole kwa Bwana Khamis!
 
Nimeshindwa kuelewa kuwa alitumia ili kuongeza nguvu za mwili au na yeye ni mtumiaji kutokana na maradhi yanayomsibu

huyu alitumia dawa kama muathirika wa ukimwi,,,kilichotokea ni side effect ya dawa
 
Tatizo haya mambo yetu ya kupeana dawa bila kuelimishana athari zake ndo haya sasa! Hapo nadhani huyu mwananchi ana haki ya kuishtaki mamlaka ya dawa na chakula kwa kutotoa tahadhari ya athari za matumizi ya dawa hizo! Pole kwa Bwana Khamis!

hapo unaweza kujihisi una mkosi katika maisha haya
 
A caption from The Citizen on the story....

matt.jpg
 
Hii kitalamu wanaita gynaecomastia ni mojawapo ya effect ya dawa nyingi tu sio ARVs pekee. Ni kweli haipendezi kuona mwanaume ktk hali kama hiyo, lkini sioni sababu ya kuilaumu TFDA. Hii ni side effect inayotokea kwa nadra sana, na ndio maaana walipolinganisha faida na hasara ya dawa hii wakaridhia itumike.

Lakini hata hivyo, hebu tuwe wakweli jamani. Kipi bora kwako, kumpoteza mpendwa wako au kuendelea kuishi naye akiwa ktk hali hii ambayo sababu yake inajulikana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom