Mimi ni Greyson Kakulu, TBC Musoma, Mara

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
Habari wana jamvi,ki ukweli TBC wamepoteza uelekeo na maana ya kuanzishwa kwao.Ila kuna azina ya waandishi na watangazajia ambao wapo nao,mmoja wao ni huyu mtangazaji wa mkoa wa Mara Mr Greyson Kakulu,kama ni kipaji basi jamaa anacho
 
Back
Top Bottom