Nakumbushia:ile sheria ya kutulinda sisi wapangaji wa vyumba na nyumba imeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakumbushia:ile sheria ya kutulinda sisi wapangaji wa vyumba na nyumba imeishia wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by cement, Jun 18, 2012.

 1. cement

  cement JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Heshima mbele

  Jamani naomba kujua nilisikia serikali inajipanga kutetea sisi wapangaji maana ss hv kachumba kamoja 40,000/ duh bado umeme maji ukijumlishaa hali ya maisha inavyokwenda jamani hali mbaya!

  Sasa hv nyumba nzima ya vyumba 3 ni kuanzia 250,000/ kwa mwezi hivi jamani serikali yetu mbona halimalizi mambo kila kitu ni nusu nusu tunaelekea wapi maana kila kukicha mwenye nyumba wananyanyasa watu jamani
  Naikumbusha serikali kwa hili limeishia wapi??????
   
Loading...