msaada: tofauti ya utajiri wa kikinga na ule wa kifreemason | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada: tofauti ya utajiri wa kikinga na ule wa kifreemason

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jun 18, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nimekuwa nikiona matajir wengi hasa mikoa ya nyanda za juu kusini wakisemwa kuwa ni matajiri kutokana na dawa za kikinga.
  Hapa mjin Dar es salaam matajiri wengi huitwa ni mafreemason.
  Naomba kufahamu tofauti ya haya makundi mawili
   
 2. g

  gati Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi sijui itajiri wa kikinga na ki-freemanson, najua kuwa wakinga ni kabila ambalo wengi wake ni hardworking na ethical, nadhani freemanson ni fraternal society with nothing to do with utajiri.
   
 3. M

  MKUU WA KAYA JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Uko mbali sana na ukweli ,nenda kwa mkinga mwambie akupe siri ya utajiri wake ,utakimbia.Kwanza we waangalie matajiri wa kikinga utakuta tajiri ana Biashara kubwa sana Nyumba nzuri sana na Gari lakini miguuni anavaa Matairi ya gari au kiatu kibovu na huko nyumbani analala chini ,na ndio maana mwisho wao huwa mbaya sana siku zote .Utajiri wao not sustainable.
   
 4. B

  Bob G JF Bronze Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Naona umeamua kuwatukana Wakinga na nina hakika huwajui wakinga na yawezekana umesikia habari za kijiweni, wakinga ni watu makini waaminifu na watu wanaofanya kazi kwa malengo.wakinga hawafuji pesa, wakinga waishi maisha mazuri tena ya uhakika, Wakinga sasa wanasoma na kusomesha sana, wakinga wenye wivu wa maendeleo
   
 5. ijoz

  ijoz JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 665
  Likes Received: 374
  Trophy Points: 80
  Wengi wanarely on rumours. Wakinga wanaishi kwa malengo,wanaanza kugenerate capital huko kwao kwa kumiliki acres za mashamba ya miti.
  Then wanaingia town na biashara ndogo kustudy soko. hivyo mtu akija wanafikiri ni ghafla.
  kuhusu suala la kulala chini na kuvaa kandambili za gari mh! kachunguze,usisimuliwe.
  Freemasons ni kabila au?nao wanafanya biashara?
   
 6. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  hivi mtu mwenye akili timamu bado anaweza kukaa naku jadili freemason?
   
 7. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  sijui kama nimewaelewa vibaya...lakini wakinga, kwa mfano pale soko la mwanjelwa na soko la tunduma mkoani Mbeya ndio walio sikika wakililia paka wao baada ya mali wakati wa ajali za mali.kwa maelezo ya wakongwe ni kwamba hao paka ndo kila kitu kwao.. kwa maana hiyo ndio iliyonifanya niulize
   
 8. ndinga

  ndinga Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya ni maneno ya watu msiotaka kujituma kufanya kazi wewe amka fanya kazi usilale wakinga achana nao ni hardworkers wasio na mfano.
   
 9. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  hardworking people alwayz wanatafutiwa sababu ya kuonekana wabaya. Wakinga ni watu watafutaji,watunzaji wa fedha na wasiotumia fedha zao kwa anasa za kijinga. Huwezi kuta mkinga ameuza shs 100000 na kwenda kunywa bia na nyama za 80000. Wakinga wanatafuta popote pale mbali na ushindani wa biashara uliopo! Unakumbuka deo sanga alikuwa na malori ya mizigo licha ya tazara iliyokuwa imara kabla ya kuhujumiwa na akafanikiwa. Hii leo watu wanafanikiwa baada ya kuhujumu miundombinu ya reli. Wakinga wengi biashara zao wanaziuza kwa bei ya chini na kupata faida ndogo lakini bidhaa zao zinatoka mapema hivyo faida inapatikana ndani ya muda mfupi
   
 10. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Hapa inabidi tujiulize swali la kutaka kujua_utajiri wa uchawi upo ama haupo?...just curious to know wakuu
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  mawazo mazuri mpangilio wa swali uliokufanya utaje kabila na genge umepoteza ladha tegemea majibu ya kupinda pinda.
   
Loading...