Amepotelea wapi Le Mutuz @ New York - William Malecela ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amepotelea wapi Le Mutuz @ New York - William Malecela ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pipiro, Jun 18, 2012.

 1. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ni siku kadhaa zimepita bila kumsikia mwana jamvi mwenzetu William J. S. Malecela. Ni kwamba amerudi @ New York au ndio bado yupo kwa wananchi huko vijijini? Siamini kama changamoto alizozipata hapa zimemfanya ajifiche. Usivunjike moyo kaka William. Uwepo wako unaleta changamoto kubwa sana hapa jamvini.

  Mimi personally nimekukosa sana hapa jamvini. Karibu kaka mchango wako unahitajika sana hapa hasa kwenye kipindi hiki cha Bunge la bajeti.
   
 2. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Umemwita, ataitika!
   
 3. a

  andrews JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  YUKO DODOMA ANAKULA MABAKI YA WABUNGE MAHOTELINI DODOMA SI UNAJUA ANAVYOPENDA MSOSI:hand:
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mweeeee mwache Kalumbu!! Kama atakuwa Dom basi ni kujijenga kisiasa na kijamii (political and social networking) ili 2015 arushe karata barabara!!! ha ha ha ha Le Baharia, Le Mutus!!
   
 5. paty

  paty JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha ha ha ha mr baharia tena ,
   
 6. paty

  paty JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  hawezi siasa yule, yule hata akishindana na bibi yangu Mkempisi hawezi kushinda,
   
 7. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Au kama umejivua gamba na umevaa gwanda jitokeze tuu umwage ukweli watu wakuhesabu maana naona Melikebu Titanic inazama. Ila nakuaminia ulipo popote huko utajitokeza kuja kukata issue na kumkoma nyani gilani mchana kweupe zile enzi za kina Field Marshall, Rev. Kishoka, Mwafrika wa Kike na wengineo. Oooh God I missed those days when JF was real hot ...
   
Loading...