Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watanzania wenzangu kuna wizi mpya unaotumiwa na kampuni inayotoa huduma kushirikiana na makampuni yetu ya simu za mnkononi inayojitangaza kupitia radio ya clouds FM, kwamba wanauza magari...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Written by Nahisi kichefuchefu nikikumbuka muungano // 19/06/2012 // Related Posts
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari nilizozipata kutoka Jukwaa la Wahariri zinasema Mhariri wa Gazeti la Jambo Leo, Willy Edward amefariki dunia ghafla usiku wa leo mjini Morogoro. R.I.P Willy
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Kibaki in Brazil for UN summit Posted Wednesday, June 20 2012 at 09:42 President Kibaki is in Rio De Janeiro, Brazil, for the United Nations Conference on Sustainable Development. The...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Pamoja na ubaya wote wa EL ktk uongozi wake (JK akihusishwa pia) afadhali mara kumi kuliko hii adha tunayopata kutoka kwa mkuu wa kaya. EL ana misimamo yake na mapungufu yake. Lakini ukiwaweka ktk...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Rais wa CWT ndugu Mkoba amekuwa ni bigwa wa maneno zaidi kuliko vitendo. Inavyoonekana ndg, huyu amekuwa akilichukulia suala hili kama sehemu mojawapo ya kitega uchumi chake, kwan uzoefu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JF wadau kuna jambo bado silielewi juu ya wabunge walio DODOMA ktk kipindi cha bajeti,utasikia mbunge anasema naunga mkono bajeti kwa 100%,lakini mwisho wa siku mbunge huyohuyo analalama kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba jf mnisaidie chuo kizuri cha nursing tanzania kinachotoa certificate of nursing na kinachopokea form 4
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nakumbuka kuna kipindi fulani pale ubungo kulikuwa kweupe ila kuanzia juzi kama sikosei wale jamaa wameanza kuonekana kwenye ile kona ya kwenda mwenge kama unatoka kimara. Hofu yangu, taratibu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sakata hilo lilitokea nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuahirishwa kwa kikao juzi usiku, ambapo Wassira alimfuata Bulaya na kumhoji kwamba kwanini alitoa maneno ya kuipinga bajeti ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Walevi TZ ndio wachangiaji wakubwa wa pato la Taifa ila wanadharauliwa na kutothaminiwa, kila Mwaka bei ya vilevi huongezeka, bei ya sigara kadharika. Walevi hawalalamiki. Kwa hili natoa ushauri...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais amteua wakili wa Lulu kuwa Jaji. June 20, 2012 Posted in: Habari vyanzo mbalimbali Leon Bahati RAIS Jakaya Kikwete amemwapisha kuwa Jaji wakili wa kujitegemea, Joaquine De-Mello...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana JF, katika pitapita zangu mjini morogoro nimesikia tetesi kuwa ile taasis iliyopewa majengo ya kilichokuwa chuo cha Tanesco pale Morogoro inapanga kufanya dua maalum ya kumuombea baraka Rais...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele, Naomba kuuliza swali moja kwa anaejua. Muhingo Rweyemamu ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe hivi karibu na Salvatory Rweyemamu a.k.a Salva ambaye ni Mkurugenzi...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Mbunge wa Kisesa, Joelsn Luhaga Mpina anasema hataiunga Mkono Bajeti ya Serikali kwa sababu imeenda kinyume na Azimio la Bunge ambapo yaelekea Bunge lilikubaliana kiasi fulani cha fedha kitatengwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna habari kwamba wafanyakazi wa kampuni ya habari corparation imekumbwa na mgogoro wa kidini baina ya wauminhi wakikiristo na waumini wa dini ya kiislam baada ya wafanyakazi wa kiislam kupinga...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Hatimaye aliyekuwa Mhariri wa Jambo Leo Willy Edward anaagwa sasa viwanja vya Mnazi Mmoja, Kibanda, Pinto amewaliza watu kwa hotuba za kusisimua. Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawaomba wataalamu wa mimea (botanists) na watu wenye kutambua mimea wanitoe hofu kuhusu mmea huu. Umeota katika barabara kuu za Mhesh. J.P. Magufuli ndani ya jiji. Nimevutiwa nao baada ya kukuta...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hatimaye mama yake wema adai atadili na gazeti lolote litakalo andika habari yoyote ya kumchafulia jina wema sepetu! Akifunguka ndani ya kipindi cha Take One kinacholushwa na clouds tv! amedai...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Real happiness and peace can be found in submitting to the commands of the Creator and the Sustainer of this world. God has said in the Quran: "Truly, in remembering God do hearts find rest."...
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Back
Top Bottom