Nakumbushi;le sheria ya kutulinda sisi wapangaji wa vyumba na nyumba imeishia wapi???

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Heshima mbele

Jamani naomba kujua nilisikia serikali inajipanga kutetea sisi wapangaji maana ss hv kachumba kamoja 40,000/ duh bado umeme maji ukijumlishaa hali ya maisha inavyokwenda jamani hali mbaya!

Sasa hv nyumba nzima ya vyumba 3 ni kuanzia 250,000/ kwa mwezi hivi jamani serikali yetu mbona halimalizi mambo kila kitu ni nusu nusu tunaelekea wapi maana kila kukicha mwenye nyumba wananyanyasa watu jamani
Naikumbusha serikali kwa hili limeishia wapi??????
 
Back
Top Bottom