DAWASCO maji Dar yatatoka lini!

UPOPO

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
3,445
5,396
Jamani wenye taarifa ya maji kupatikana Dar kwa wakazi wa Tegeta,Mbezi beach Mwenge mpaka Town .Tunaomba kujua jamani kwani hali mbaya sana huku majumbani kwetu hasa sisi akina mama.
 
Sisi kwetu hatujawahi kupata maji so tumeshazoea kubeba madumu mpaka tumejazia mikono
 
Leo ofisini nimeshindwa kukata gogo nimerudi nalo mapaka home,aisee nina hasira sana na haya magamba yanatutesa mno!!!Upanga haina maji toka ijumaa.
:sad:
 
Back
Top Bottom