uchangiaji wa hoja bungeni, iwe kigezo cha uchaguzi wa 2015

Mangaline

JF-Expert Member
May 19, 2012
1,045
221
Wananchi wengi, wametokea kuwa wafuatiliaji wa hoja za wabunge. Mara nyingi spika, au mwenyekiti amekuwa akitumia nguvu sana kulinda chama fulani na kuonyesha kama vyama vingine havina mchango kwa matatizo ya wananchi. Hali hii kwa sehemu kubwa, inawaongezea umaarufu. Pole sana spika pamoja na mwenyekiti, kwa kuendelea kujenga chuki kwa wananchi dhidi ya chama unachodhani kuwa unakitetea kumbe unakiponza zaidi.
 
Back
Top Bottom