Ndugu zangu watanzania kwa mara nyingine tena mbeya yalipuka kwa moto,mara hii ni eneo la ndaga ktk wilaya ya Rungwe barabara ya malawi mbeya.vurugu hiz zimetokana na kitendo cha serikari kuweka...
Nimesikitika sana baada ya kukosa hata kibarua cha muda mfupi cha kusaidia serikali kufanya sensa mwaka huu. Nilimaliza form 6 mwaka jana niko tu home na wazazi wangu nawategemea kwa kila kitu...
Kutokana na mchango wao katika kushawishi na kushabikia mgomo wa madaktari na kuushawishi umma kuamini kuwa vurugu na migomo ndio njia pekee ya kudai maslahi nadiriki kusema kundi hili la jamii ni...
URGENT ATTENTION Spam
John philip <rdvcelfabriciano@itapemirimcorp.com.br>
Thu, Jun 28, 2012 at 4:03 PM
Why is this message in Spam? It's similar to messages that were detected by...
From Yahoo
Dear
I got this from a friend in Nairobi but the content/information is helpful to us too but some accident also occurred in Dar, not territory bound!
Kindly remember this...
Nilisikiliza hotuba yako uliyoisoma mwisho wa mwezi na kurushwa na vyombo vya Habari mwanzo wa mwezi wa saba.Sielewi na haitonisaidia kama nikipewa maelezo.Kwangu ni kwa mara ya kwanza kukuona...
Baada ya hotuba ya mh. Raisi Kikwete inaonyesha wazi serikali imeanza kutekeleza madai ya madaktari; ipo tayari kwa majadiliano; moja ya dai kubwa la ni kukosekana kwa vitendea kazi; ni ukweli...
Ni uwamuzi wa Busara, uliojaa upendo, huruma na msamaha kwa vijana wake Madaktari. Rahisi ametanguliza maslahi ya sisi tulio wengi kuliko kundi moja tu la watumishi. Hotuba ya Raisi imewahabarisha...
Nimejaribu kufuatilia madai ya madaktari ila sijakutana na hoja yeyote inayozungumzia clinical officers/medical assistants.
Clinical officers ndio wale wanaoitwa madaktari huko mikoani na wilayani...
Rais Kikwete hongera kwa uamuzi mzuri wa kusema kwel coz madaktari wanachotaka hakiwezekan,jamani hebu fikiria kama mshahara wa daktari anayeanza kazi uwe 7.5 mil sasa mshahara daktari aliyeko...
Kama kweli Serikali ina nia ya dhati ya kuboresha mazingira ya kazi ya Udaktari kama alivyosema Rais Kikwete jana,wale Madaktari wanaovutiwa na malipo ya Serikalini na warudi kazini.Wafanye hivyo...
Hii inaweza kuwa ni clue nzuri ya kumfahamu mwenye mkono kwenye masahibu yaliyompata Dr. Ulimboka. Hivi ni nani anayekihofia Chadema hapa Tanzania? Chadema ni taasisi gani? Jibu la swali la pili...
Madaktari Interns wa Hospitali ya Rufaa Mbeya wameamriwa kuhama haraka iwezekanavyo katika hosteli za hospitali hiyo. Majengo ya hosteli hizo yamezingirwa na askari wa kuzuia ghasia na makachero...
SERIKALI imetangaza viwango vipya vya posho za madiwani ambavyo vitakuwa Sh250,000 kwa mwezi kuanzia mwezi huu.Viwango hivyo ni ongezeko la asilimia 108 katika kiwango ambacho kilikuwa kikilipwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.