Mgomo wa madaktari bingwa muhimbili.....!!!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari bingwa muhimbili.....!!!??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by STK ONE, Jul 2, 2012.

 1. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau hizi taarifa nimezisikia hivi punge kupitia kituo cha radio cha CAPITAL, mwenye access ya habari hizi atujuze tafadhari.

  My take: Kama ni kweli, big up, hadi serikali DHAIFU, inayoongozwa na rais DHAIFU, wakione cha MTEMA KUNI, LIWALO NA LIWE!!!????
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mbona hujaisema taarifa yenyewe?
   
 3. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapo photo!!??
   
 4. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  Breaking News ITV</SPAN>

  Madaktari bigwa wamegoma rasmi na wamesema hawawezi kufanya kazi peke yao na wako tayari kwa lolote na wamesema liwalo na liwe. Hatuwezi kufanya kazi katika mazingira haya hatarishi na magumu

  Wamedai Rais kapotosha umma na wamehoji iweje rais asikilize hoja za upande mmoja? </SPAN>

  Kwa habari zilizopo wagonjwa hakuna na waliopo wodini wametelekezwa.Hali ni mbaya sana Muhimbili kwa sasa na inatisha</SPAN>

  Sababu kuu walizotoa ni zifuatazo

  1. wameelemewa na mzigo na pia hawawezi kufanya kazi bila madaktari registra na interns
  2. hotuba ya Rais iliyopotosha ukweli wa majadiliano na hali halisi ya utoaji huduma
  3. Rais kuonekana kutokujua hali halisi ya utoaji huduma za afya tanzania</SPAN>
   
 5. L

  Lady G JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  duuu kazi ipo
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,846
  Trophy Points: 280
  huu nao ni upepo utapita tuu......
   
 7. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mh.....hili zito....
   
 8. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  madhara ya manung'uniko ya watu walioibiwa kura zao 2010
   
 9. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Angalia party two ya picha hili sijui mwisho wake utakuwaje?
   
 10. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Umeshaulizwa wapi picha? Hapa tunataka taswira zaidi ya maneno
   
 11. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Ili usikizwe basi sema tu ili meseji iwe senti si ajabu hata jukwaa la lugha wakakimbilia huko.
   
 12. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Usichokijua wewe ni kwamba wanaokiona cha MTEMA KUNI sio serikali bali ni wagonjwa wanaotaabika mahosipitalini wakiwemo ndugu zako. Hali inayoendelea sio ya kushangilia bali ni ya kuombea kwa MUNGU ili awape busara MADAKTARI na SERIKALI katika kutatua tatizo la mgomo
   
 13. M

  MAGUNJA JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 976
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 80
  Wameendelea na kazi
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  kweli aise, kumbe na wewe umeliona eehh!.
   
Loading...