Pendekezo kuhusu Dr. Ulimboka

Lastname

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
921
296
Watanzania ambao wako katika mlengo wangu napendekeza kama Mungu atamjalia Ulimboka akarudi salama basi ianzishwe Dr. Ulimboka foundation ambayo yeye atafanya kazi hapo na iwe inahusika kusaidia watu wanaojeruhiwa kwa jinsi ile na jinsi nyingine ili cases kama hizi ziweze kuwa wazi na jamii iweze kuzipigoia kelele. Binafsi nipo tayari kuchangia kwenye hiyo foundation.
 
Yeye ndiye atakaye lead maana sidhani kama anaweza kurudia hali yake ya kawaida na pia mimi namchukulia kuwa amekuwa mpigania haki wa kweli
 
Back
Top Bottom