ITV hata nyie mnaanza kupotosha watanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV hata nyie mnaanza kupotosha watanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lugeye, Jul 4, 2012.

 1. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 1,379
  Trophy Points: 280
  Jana ktk taarifa ya habari ya usiku saa mbili ITV chombo ambacho nilikuwa naimani nacho kuwa ni huru na habari zake ziko balance lkn jana kimetoa habari kua huduma ktk hosptali ya muhimbili zimerejea kama kawaida na madr wote wapo kila idara,wakati ni uongo kabsa mm nilienda asubuhi kuchukua vipimo lakini sijapata huduma na wagonjwa wengi hawakuhudumiwa kabsa hali ni tete kabsa sasa mbona itv mnapotosha?au na nyie mmeshaingizwa kwenye propaganda za magamba?
  NATANGAZA KUTOIIUNGA MKONO ITV KWA WIKI 2!!!
   
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  nahisi walinakili maneno ya aligaisha yule tarik aziz wa muhimbili
   
 3. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ha ha ha!
   
 4. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Wamehoji wagonjwa wawili na kujumuisha yaani its a sad moment.........wote na magongo yao halafu akaonekana kakaa chini kakata tamaa masikini


  Tuendelee na maombi....................
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Asubuhi ulipokwenda wewe, madaktari walikuwa bado wapo kwenye mikutano (kulikuwa na mikutano miwili, wa madaktari bingwa na wamadaktari uchwara) walipotoka mikutanoni ndiyo huduma zikaanza kurejea kama kawaida. ITV walikuwa sahihi.
   
 6. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Zomba@

  May be kweli huduma zinaendelea vizuri........ntashukuru kama kweli

  Ila premises and the conclusion are miles apart ITV narration was not evident for the claim they have paused
   
 7. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 1,379
  Trophy Points: 280
  mkuu ZOMBA hao madkatari uchwara ni wakina nani FUTA KAULI YAKO tafadhali
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  You are sane.
   
 9. +255

  +255 JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,910
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Kama umesema ITV wamedanganya, hata na sisi tunaweza kusema umetudanganya..
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Madaktari uchwara ni wale wote wasio madaktari bingwa, ni Kiswahili fasaha kabisa, kinyume cha bingwa ni uchwara, kama una madaktari bingwa basi ni lazima utakuwa na madaktari uchwara.

  Kauli sifuti na nipo sahihi.
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Usiamini kila uambiwacho mkuu.
   
 12. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 1,379
  Trophy Points: 280
  mkuu ZOMBA hilo neno uchwara linatumika zaid kwenye vijiwe vya kahawa ila kwa kuwaita ma-dr wetu waliosoma zaid ya miaka 5 kua ni uchwara nadhani unakosea mkuu,coz ma- dr Bingwa wenyewe walisema hawawezi kufanya kazi bila hao ma INTERNSHIP,hizo ni kauli za kuudhi kama za magamba mjengoni,,au mkuu zomba upo upande upi sheikh?
   
 13. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu zomba yupo RADIO IMANI.
   
 14. WOWOWO

  WOWOWO JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ukiitaja ITV unanikumbusha kichefuchefu cha habari ya Bunge iliyoripotiwa jana. Ripota ambaye ni Godfrey Monyo alijikita kuripoti mashambulizi ya kipropaganda ya CCM na CUF dhidi ya CDM bila kubalance na maelezo yaliyokuwa yanatolewa na kambi ya upinzani (CDM). Kwa ujumla ripota alijikita katika kuzikita mizizi na kuzihalalisha propaganda za akina Mwigulu Nchemba na wenzake katika kiwango cha kupitiliza.

  Maelezo yaliyotolewa na CDM hayakupewa nafasi kabisa. Kwa ujumla ITV wanakosa elements muhimu kwenye habari ambazo ni Fair and Balance.

  Hili liko pia kwenye kipindi chao cha Dakika 45 kinachoendeshwa na Jamaa anayeitwa nadhani Semonyo. Kimekuwa ni kasuku wa Serikali. Hili lingefanywa na TBC isingeshangaza lakini kwa ITV ni ajabu sana. Unawezaje kuruhusu kipindi chako kiwe kasuku tuu tena mtangazaji mwenyewe akimezwa na mgeni wake bila kupata mawazo ya tofauti? Ni aibu kwa TV station hii.

  Siku hizi mimi na Star TV, Star TV na mimi....Nina programu nyingi za kutazama huko kuliko local TV nyingine yoyote.
   
 15. F

  Froida JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Star TV na Channel ten far best TV stations kwa kweli most times huwa wanabalance news
   
Loading...