Hivi vitambulisho vya utaifa na makazi vinauzwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi vitambulisho vya utaifa na makazi vinauzwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngoiva, Jul 1, 2012.

 1. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wandugu hili nimeuliza baada ya kuona vikiuzwa kwenye stationary moja hapa A.town. Ila niliwahi kusikia waziri wa mambo ya ndani akisema vitatolewa BURE. Naomba jibu.
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wanaviuza stationary ipi Ngoiva?

  Hata Mi nimeshamsikia huyu waziri nakinena haya ya kwamba haviuzwi kamwe!

  Hebu nipe mwelekeo ulipo stationary yenyewe inayouza nikavione!
   
 3. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Twiga kauzwa sembuse vitambulisho hii ndo Tanzania banaaa!!!!!!!!!!!
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Kweli kabisa Kamkuki!
  Mi cjui tunaelea wapi na Tanzania yetu ya Maziwa na Asali.
   
 5. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  vitambulisho ni bure kwa watanzania,kwa wageni si bure
   
 6. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aisee hapa si bure. Nisaidia namba za TAKUKURU ili wabanwe.
   
 7. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
 8. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkuki kwa nguruwe,.... wao wanatuuzia magari ambayo hatuna wasomi wa kuweza kuyatengeneza, kwa nini tusiwauzie NTWIGA. Maana na wao hawana INTWIGA.
   
 9. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu liver, kama uko arusha, tembelea kata ya TERRAT, KIJIJI CHA MKONOO pale centre.
   
 10. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 180
  UNASHANGAA KUUZWA VITAMBULISHO VYA URAIA WAKATI WEWE MWENYEWE UPO SOKONI UNANGOJA KUUNZWA! Ongeza umakini itakusaidia!
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Ngoja nifanye mpango wa kutua hapo Terat chap.
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Lakini Ngoiva mbona kama hii post yako ilikuwa inazungumzia hapa A town?
  Mbona tena imekuwa nje ya mji?
  Ama ulikuwa umeota kama ndoto nini?

  Ila siyo ki2 ngoja nifike pale uliponiambia pale Terat.

  Ila nimeshapata hofu na post yako!
   
Loading...