Ma-dr waliokimbilia nje ya nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma-dr waliokimbilia nje ya nchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kajunju, Jul 4, 2012.

 1. k

  kajunju JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Huku nikiwa ninaumwa,natafakari madr waliogoma na badae nawakumbuka madr walionitibu utotoni. Nilipowa-google, nimekuta wako nje ya nch. Orodha yao ni:
  1. Dr katende kashaija 2.. Dr kempanju
  3..wale dr 7 walolipotiwa toka hosp ya mbeya na jana wameanza kazi botswana. Mshahara mara 7 ya waliokuwa wanapata apa tz. orodhesha kadri unavyojua wale wote walioondoka.orodha hii itaondoa uongo wa serikali kuwa mdr hawatoshi,kumbe wanatosha isipokuwa hawahudumiwi ipasavyo na serikali wanaamua kuondoka.
   
 2. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  H.awajakimbia wameondoka kwa Hiari yao bila kugoma baada ya kuona Tz chaka. JK kashsha sema madokta wanaotaka 3.5m waondoke wala hawalazimishi kuwa serikalini
   
 3. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sasa utakuwa umbea hapa
   
 4. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Hivi Dr wa DHAIFU naye kagoma?
   
Loading...