Yuko wapi huyo Dr.Deo aliyekuwa na Dr. Limbuka wakati anatekwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi huyo Dr.Deo aliyekuwa na Dr. Limbuka wakati anatekwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Byendangwero, Jul 3, 2012.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nafatilia sakata la kutekwa kwa Dr. Limboka, lakini jambo moja linalonishangaza ni kutozungumzia lolote kuhusu alipo Dr. Deo aliyetajwa kuwa pamoja na Dr. Limboka wakati anatekwa. Wasiwasi wangu ni kwamba kwakuwa huyo daktari alishuhudia sakata hilo uenda maisha yake pia yako hatarini; kwahiyo ni vema akajulikana alipo hivi sasa.
   
 2. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,076
  Likes Received: 1,375
  Trophy Points: 280
  naunga mkono hoja ikibdi apewe ulinzi maana hawa janjawed watammaliza
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Na kwa nini huyo Dkt. Deo hakutoa resistance kwa hao waliomteka rafiki yake? Au alitoa?

  Manake ingekuwa mimi nashuhudia rafiki yangu anatekwa hadharani namna hiyo pangechimbika. Ningepiga mayowe, ningerusha ngumi, mawe, chupa, n.k.

  Ila mpaka sasa mimi sijasikia chochote kuhusu resistance ya aina yoyote ile.
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Yeye aliwatambua watekaji kwa hiyo yuko at large hadi kieleweke
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyo walimkong'oli wenzake alipokataa kwenda mahakamani.
   
 6. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kuwatambua waliomteka Dr. Ulimboka: Hawa watu watakuwa wanawajua angalau kwa sura:

  Dr. Deo, wafanyakazi na wanywaji waliokuwepo katika hiyo baa Kwa maan kama mtu anachukuliwa tena chini ya mtutu wa bunduki labda itokee jamaa wawe wamevaa soksi usoni!
   
 7. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We pimbi ndo dhaifu kakutuma uharishe
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ulimboka vipi hali yake? anaendelea vizuri? mpe pole sana ukiwasiliana nae mwambie na mgomo huku Kikwete kaumaliza.
   
 9. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watekaji walikuja wakiwa wamevaa kikazi,
  wana uniform,
  kila mmoja na pistol, drawn and ready to fire
  wakasema wanamhitaji huyo hapo (pointing towards ulimboka)
  Wakaulizwa nyie nani,
  replied: polisi,
  Then Deo na Abedi(kutoka ofisi ya rais-aliyesema katumwa na katibu mkuu kiongozi) wakabaki
  Wakaondoka na Ulimboka.
  Abedi akafanya sanaa akamwachia Deo namba ya simu akatoweka, simu yake ndo ilikuwa mwisho wa kuwa hewani dakika hiyo.
   
 10. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naamini wewe hapo ungekuwa wewe,basi wangekukuta umejiharishia
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwa vile hiyo ndiyo imani yako wala sitakubishia.
   
 12. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yuko vizuri,
  Chini ya ulinzi mkali wa Amnesty International.
  Na mgomo uko palepale.
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Usikute washamfix maana magwanda act on very poor strategies ziwe za ulinzi,afya,,elimu,uchumi etc.
  Yaani kila kitu wanaangukia pua isipokuwa kwenye ufisadi,safari na posho wako fit
   
 14. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  unahitaji taarifa za dr Deo au na wewe ni mmoja wa waliomteka dr Uli ili ufute ushahidi kwa kumteka dr Deo?
   
 15. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,356
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Hao ni dhaifu ktk masuala ya msingi lkn ufisadi,kuiba pesa zetu na kusema liwalo na liwe wako imara MUNGU atunusuru
   
 16. F

  Froida JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Nadhani unataka mumuuwe na yeye unadhani madaktari wajinga kama wewe wataacha kumuwekea kinga ya kimataifa
   
 17. g

  gabatha Senior Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  yupo anasubiri repoti ya uchunguzi itakayochakachuliwa aanike uovu wote wa serikali. Penye ukweli owongo hujitengfa.
   
 18. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Hili la dk Uli, Serikal limewakamata pabaya!
   
 19. Ticha

  Ticha Senior Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 26, 2007
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nawalaani wanaoshangilia mgomo,watanzania tunaumia vifo,vya ndugu zetu.Ngoja augue mama,baba,mtoto wako uone labda utaona umuhimu wa kuacha mgomo.
   
 20. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Zaidi ya pabaya,maana wanahaaaaaa kila kona.
   
Loading...