Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sasa ni official hawa jamaa madaktari bingwa wagoma, amesema eet, hawawez kuendelea na kazi kwa kua hawana wasaidizi. Ni hatari sana. Mimi ni Mzalendo bado. SOURCE: ITV
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania kwa mara nyingine tena mbeya yalipuka kwa moto,mara hii ni eneo la ndaga ktk wilaya ya Rungwe barabara ya malawi mbeya.vurugu hiz zimetokana na kitendo cha serikari kuweka...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani wana jamvi naomba kwa wale mnaojua mnijuze bodi ya wadhamini hospitali ni akina nani na wamewekwa na nani?na je ni madokta au?kwa majina yao tafadhari mtu anayeijua hiyo bodi na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf Naomba kuuliza huenda nyie mmepata kuelewa ili mnitoe sintofahamu niliyonayo. Kwenye vyombo vya habari kuna tangazo linalihamasisha wananchi kujiandikisha juu ya vitambulisho vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
matatizo mengi sana hutokea pindi bunge linapokuwa chini ya wenyeviti,tuliona kwa Zungu,jana tumeona kwa (simjui jina lake) .....je kunasifa gani kumpata mwenyekiti wa bunge?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hofu ya maisha ya watanzania wenye upinzani wa wazi na watawala ni kubwa mno hasa baada ya Dr ulimboka kufanyiwa kitu cha ajabu. Moja ya watu wanaoipinga serikali waziwazi ni Godbles Lema, je huyu...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Swali la mh mnyaa kwa wizara ya habari ilikuwa ni kutaka kujua kama serikali inacho chombo kinachoratibu mijadala na hoja zinazotolewa na vyombo vya habari nchini na kutaka serikali kuwasilisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakazi wa mji wa mlandizi wako kwenye mateso makubwa ya kukosa maji kwa muda mrefu sasa takriban mwezi sasa tangu aliyekuwa meneja wa dawasco hapa mlandizi atoroke na familia yake kukimbia tuhuma...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
nninasikitishwa na waratibu wa shughuli mbalimbali za serikali.sinautaalamu sana na mambo ya takwimu ila je huu uhakki unaofanywa na hawa watu wa vitambulisho vya taifa na ule uhakiki utakao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
GOT A STORY? EMAIL : TALKBACK@THE-SUN.CO.UK Human head found after ‘cannibal killer’ arrest Arrest ... Magnotta taken from extradition plane in Canada weeks before cops find head in park...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
...Wakati anaendesha kipindi cha jambo Tanzania leo tarehe 02.jul.12 pale Dodoma kwa kweli Dada yangu huyu hakua katika vazi la sitara kwa mujibu wa silka na desturi zetu watanzania na hata katika...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
under the doctrine of Complimentarity ICC inayo power ya kuprosecute hii mambo. baada ya mambo kusikika Duniani chini ya BBC na Magazeti ya Marekani, inasemekana kuna uwezekano mkubwa mwanamama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Poll Poll
1- KUfuatia hali ngumu ya maisha Waziri wa Fedha katika miaka ya 80, David Msuya- Kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe. 2- Serikali ilipotaka kununua ndege ya Rais, Basil Pesambili Mramba-...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Kuna software zinawekwa kwny simu kazi yk ni kutrace simu ikiibiwa na kujua mtumiaji na kila anachofanya hata ubadili line bado itakutrace tuu kuna jamaa alinunua iphone 4S mtaani(mkononi) akaanza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau, kuna tangazo hapa jamiiforums linasema: "Buy for only 30,000 Tsh and get free internet for 6 months. Visit any airtel shop." Naona hili tangazo linasema uongo maana jana nilinunua modem kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mgomo unaendelea na raia kukaa kimya ni uthibitisho watanzania wamechagua kufa kwa kukosa umoja na mshikamano. Kila mtu anakufa na lakwe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ze Orijinal comed ya kina Masanja na wenzake naona wiki hii wamekomalia na mgomo wa madktari na wanajaribu kuwa upande wa serikali na kujaribu kusema kuwa siri ya mgomo na kutaja wanataka nini...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
nimeweka dola 2,then after few minutes nakuta wamelamba 480,sijapiga simu yeyote,wala sijatuma msg yeyote,sijajiunga na huduma yeyote!na ni mara kwa mara wanafanya hivi!kwanini kampuni inakuwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Inaweza kuwa kama coincidence lakini pia ina mantiki.... Alianza mzee mmoja cjui mwaikambo alitaka kuingia upinzani,akapata ajali pale upanga jamatini kbla usiku kabla hajatangaza maamuzi mapya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Anaongelea mgomo wa madackari na wahamiaji haramu toka ethiopia
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom