Magamba na kukurupuka kwa hoja

Baba Hellen

JF-Expert Member
Jul 2, 2012
763
91
Dugu zangu wana jamii forum mimi nimzalendo wa kweli kwenye hii nchi yangu ya tanzania lakini kinachonisikitisha nijinsi magamba wanavyojitetea kwamba ni wasafi ilihali wapo ndani ya shimo la kinyesi . Kipofu kiziwi hutambua hili lipitalo nigamba kwasababu harufu yao haiwatengi kabisa.chadema huibua hoja zenye kuwaaibisha ndani ya jamii lakini wao pasipo kufikiria hujibu tena kwapupa nakudhihirishia wa tanzania jinsi walivyo wagumu kimtazamo nakifikra. Wito wangu kwa magamba kuzimu inawaita kwasauti ya upole nawaomba wa fungue mioyo kwa haraka kabla wananchi hawajaamua nguvu ya umma kuwaangamiza asanteni sana mliosoma kwa machozi ujumbe huu
 
Back
Top Bottom