Tusishabikie sana jamani,nchi imekwama hii. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusishabikie sana jamani,nchi imekwama hii.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ticha, Jul 4, 2012.

 1. Ticha

  Ticha Senior Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 26, 2007
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :loco:Nchi haiendi hii ndugu zangu tutaaibika,wasomi tunao,wanasiasa tunao ,viongozi tunao.Tutulie tuangalia namna ya kuiokoa nchi hii hatujachelewa.Tunapoteza muda mwingi kupiga kelele,najua wote hali ya nchi tunaiona ndio maana tunapiga kelele kila kukicha.Sasa hizi nguvu tujipange kuiokoa nchi yetu,hivi wewe huwezi kuikomboa nchi hii.
  Tunaona hospitari hatuna ,Shule ndo hivyo,ukiangalia na vyuo vyetu navyo,watawaliwa uuwiiiii,Wamebaki watawala tu.
  Naomba tafsiri ya nchi,ukisha tafsiri maana ya NCHI,Angalia tafsiri hiyo kama Tanzania ipo .TUHURUMIANE,TUSAMEHEANE,MTU MZIMA HAPIGI KELELE,ILA UTAMUONA UNAGUGUMIA,UNAHITAJIKA MSAADA :director:
   
Loading...