Nimefikiria sana suala la kuzama meli zanzibar na nikaangalia usalama wa vyombo vingine nilivyowahi kusafiria tanzania. Nimeikumbuka hii meli Mv Liemba ya lake tanganyika ambayo ni ya zamani sana...
Nilishangazwa sana na uwezo wa mwandishi mwandamizi wa gazeti la mwanahalisi bwsaed kubenea kupata, kuharir na hata kutoa bila woga wowote taarifa nyeti za mawasiliano ya watuanaodai wanahusika na...
Written by zamko // 25/07/2012 // Habari // No comments
Asalamu alaikhum ndugu Wazanzibari wa ndani na nje ya Visiwa vyetu adhimu.Natumai kila mtu atakua amekasirishwa na matokeo...
WIZARA ya Nishati na Madini imewahakikishia Watanzania kwamba hakutakuwa na mgao wa umeme kwani kiasi cha upatikanaji wa umeme kwa sasa kinakidhi mahitaji.
Jana Katibu Mkuu wa wizara ya nishati...
Heshima kwenu wanabodi katika miezi ya karibuni issue ya dr. Uli imetawala vichwani mwa watu wengi.pamoja na issue yenyewe ikigubikwa na sintofahamu kuanzia utekwaji,uundwaji wa tume na ushaidi wa...
Ili nchi iwe na mabadiliko ni lazima sisi wananchi ndio tubadilike,hata kiingie chama gani madarakani kamwe awawezi leta mabadiliko ikiwa jamii yetu itaendelea kua doro hivi! Inatakiwa ifike...
Jumamosi tarehe 14 Julai, 2012 Mwenyekiti wa tawi la Magadirisho Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Nuru Maeda alihamia Chama Cha Mapinduzi. Tawi hili lilimpoteza kiongozi huyu aliyejipatia...
Mtu aliyepanga njama za kutaka kumuuwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amepatikana na hatia.
Mahakama ya Pretoria ilimpata kiongozi wa kundi la -Boeremag linaloamini kuwa...
NI takribani miaka mitatu tangu pori la akiba la Mkomazi libadilishwe na kuwa hifadhi ya taifa. Kipindi hiki si kirefu lakini yapo mengi ya kujivunia kwa hifadhi hii inayolitangaza taifa duniani...
Wakuu,
najua baadhi yenu mnajua ninachouliza. Ni kwamba nilifungua account ya facebook lakini hatimaye sioni faida yake. Nimeamua niifunge yaani nisiwe nayo kamwe. Iwe deleted kama inawezekana...
Tanzania nchi yenye madini ya kila aina tele,mito inayoririka maji mwaka mzima,maziwa na mabwawe mengi. Lakini kuanzia Bajeti ya fedha 2011-2012 rushwa imeshamiri ndani ya wizara na idara...
"Swala la Mgogoro uliopo kati ya serikali na waalimu (Kuhusu madai ya nyongeza ya mshahara na allowance) liko mahakamani na hivyo Kusudio la chama CWT na wafuasi wake kugoma kuanzia siku ya...
mmeweka promosheni na shindano, sasa namba chini ya kizibo hazisomeki vizuri na mnajua haya sio maji. leo vizibo vyote naambiwa nimekosea namba, hata kama nimemulika na katochi kangu ka simu. huu...
Umeshawahi kujiuliza kwamba ikitokea umeamka asubuhi na kuambiwa moja ya makampuni ya simu yanayotoa huduma za kifedha yamefilisika.....???then what will happen to those money on air???simaanishi...
Nimekaa na kufikiria hali ingekuwaje iwapo ndugu Augustino Lyatonga Mrema angechukua nchi mwaka 1995?
Mrema hakuwa dhaifu wala legelege na aliondoka CCM kwa ushujaa mkubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.