Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hakuna ubishi kwamba katika mataifa yaliyoendelea wasanii wanaishi maisha ya kifahari kwa sababu ya mapato halali yanayotokana na kazi zao. Kila kazi ya msanii katika mataifa yaliyopiga hatua ina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna hili suala la mikopo kwa wanafunzi,inashangaza sana wanafunzi wanafanya field kwa hali ngumu mfano SAUT Mwanza,xaxa inakuwaje vyuo vingine vinapewa allowance halafu vingine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
huwa kuna utamu wake katk kujibu Utasikia... RAFIKI: aisee kabila lenu mna akili sana RUGAIMUKAMU: ofukoz, kwani hukumbuki kipindi kire tukiwa wingereza na akina blackberry rweyemamu, iPod...
1 Reactions
59 Replies
7K Views
Mastermason: Shaking hands/greeting.Shaking hands/greeting - Masonic Forums
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Wankyo Mwikwabe akiwa na mume wake Mwikabe Mwita Magesa. WAILALAMIKIA SERIKALI KUZUIA UKEKETAJI,WADAI KAZI ILISAIDIA KUSOMESHA WATOTOAnthony Mayunga MKOA wa Mara ni miongoni mwa mikoa nchini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku moja nikiwa ndo kwanza nimetoka kazini, nilipofika nyumbani sikumkuta mke wangu wala watoto wangu. Lakini chini ya mti wa mchungwa kulikuwa na beseni ambalo ndani yake palikuwa pamejaa maji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nguzo mbili nililipa milioni mbili na laki saba tena kijijini nikafungiwa umeme baada ya miezi sita.juzi waziri mpya katangaza bei halali ya nguzo,sasa swali langu ni je,serikali inalichukuliaje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge Gani ndani ya Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayekuvutia kiutendaji na Hoja zake anazozitoa ndani ya Bunge?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MSAMIATI wa neno "ufisadi" umeanza kuwa maarufu hapa nchini katika miaka ya karibuni ukiwa na maana ya watu ama viongozi wanaojinufaisha kwa mali za umma. Katika miaka iliyopita neno mbadala...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Upepo unaovuma ktk vikao vya bunge kuhusu viongozi wa wizara ya Nishati, Je taasisi husika zinachukua hatua stahili kwa wakati? Nini kifanyike?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HABARI kuhusu uteuzi wa dkt. Wilbard Lorry aliyeteuliwa kuwa mshauri wa Rais masuala ya lishe kama ilivyo tolewa kupitia mtandao wa jamii forum tarehe 19/7/2012 ni PROPAGANDA zinazofanywa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Suzane ndo kakamata mic kwa sasa, anasema pesa zinazotolewa na serekali kuu kwa ajili ya maendeleo ya mikoa, mkoa wa morogoro ndo unapata mgao mdogo wakati unachukua 8% ya ardhi yote ya tz. Data...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Biggest wars ''I do not know what the third world war will be fought whith,but fourth world war will be fought with sticks and stones'' said Albert Einstein.war is not heatthy for children and...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Ndugu zangu, Waziri Muhongo ameusema ukweli wake kule Dodoma. Nami nimefuatilia sinema hii ya Dodoma, kila inavyoendelea ndivyo ninavyozidi kuchoka. Ama hakika, tunakokwenda siko, tuna...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ilikuwa wiki moja ya ajabu kidogo. Na hii ndiyo maoni yangu! JK:nod: Mama Makinda:poa Prof Muhongo:poa Zitto:A S 112: Eng Muhamdo:A S 112::nono: NSSF,PSPF:A S thumbs_down...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Nimeiona hii kule BBCSWAHILi kuwa serikali sasa imetoa baraka kwa sumatra kufanya ukaguzi wa vyombo vya usafiri kule zanzibar na tayari meli tatu zimekwisha simamishwa kutokana na kutokuwa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Good morning wana jf. mwenzenu mbona naona kama network zinakata kila nikiangali ule ujenzi unaoendelea pale jangwani. maana navojua eneo lile ni bonde la mto Msimbazi, ambapo pia ni mkondo wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika hali ambayo sikuwa najua lakini leo hii baada ya viongozi wa BAVICHA kuwasili hapa kwetu Mpanda Mjini nilivutiwa sana na Gwanda.Sikuishia kulitazama bali ilinibidi niulizie namna ya...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Wakati wa kuchangia bajeti ya wizara ya madini na nishati Vita Kawawa alitoa hoja akimtaka spika apange muda wa kujandili humo bungeni tuhuma zilizoelekezwakwa baadha ya wabunge kwamba walikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pole na shughuli. Samahani, Gushit Team tunaomba utusaidie maoni/mawazo yako katika idea yetu ambayo imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya African News Innovation Challenge(ANIC) ambao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom