Mgomo wa waalimu ni batili - serikali imetishia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa waalimu ni batili - serikali imetishia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by salosalo, Jul 27, 2012.

 1. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  "Swala la Mgogoro uliopo kati ya serikali na waalimu (Kuhusu madai ya nyongeza ya mshahara na allowance) liko mahakamani na hivyo Kusudio la chama CWT na wafuasi wake kugoma kuanzia siku ya jumatatu(30/7/2012) ni batili" imesema serikali. serikali imewaonya waalimu kutojihusisha na mgomo huo batili ili kuepuka matatizo. Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya leo saa mbili usiku katika kituo cha ITV.
   
Loading...