Saed Kubenea:Ajali za Meli Zanzibar tatizo sio meli kuukuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saed Kubenea:Ajali za Meli Zanzibar tatizo sio meli kuukuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaka mwisho, Jul 25, 2012.

 1. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mjadala unahusu Chanzo cha ajari, umuhimu wa tume, nani wa kulaumiwa, je wahusika wanawajibika au kuwajibishwa. Mchango wako unahitajika.
   
 2. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,015
  Likes Received: 37,746
  Trophy Points: 280
  Bwana Saed kubenea akiongea leo jioni ktk kipindi kilichokuwa kinarushwa na BBC amesema chanzo cha ajali za meli Zanzibar si meli chakavu bali ni meli hizo kutokufanyiwa service na kutokuzingatia taratibu zingine.Ametoa mfano wa meli ya mv Lihemba inayofanya safari zake ktk ziwa tanganyika kuwa ina zaidi ya miaka mia moja.Vili vili amesema wao walifanya utafiti kubaini chanzo cha ajali na matokeo ya utafiti wao waliyatoa kwenye gazeti la mwanahalisi.Mshiriki mwingine wa kipindi alikuwa mh.Deo Filikunjombe ambae amesema pamoja na sababu zingine tatizo ni kulindana na kutokuwajibika kwa wanasiasa na amemsifu waziri wa zanzibar.Pia mh.Filikunjombe amelaumu tabia ya serikali kutotoa hadharani majibu ya uchunguzi wa tume na ametolea mfano matokeo ya tume iliyochunguza ajali ya mv Bukoba ambayo maka leo matokeo ya uchunguzi huo hayajawahi kutolewa kwa umma.

  Katika kuonyesha kuchochwa na hali hii mh. Filikunjombe amelaumu wananchi kuchagua viongozi wasiofaa.

  Mwisho serikali na SUMATRA wameacha kushiriki ktk kipindi hicho licha ya kualikwa.

  Tafakari na chukua hatua.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Okay, hivi taarifa ya uchunguzi imeshatoka?
   
 4. M

  Mkandara Verified User

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu Kubenea,
  Kutolea mfano wa meli ya Lihemba inayofanya kazi baada ya miaka 100 ni aibu kubwa sana kwa taifa na mwandishi kama wewe. Hivi kweli unaona fahari kutoa mfano wa meli yenye miaka 100 bado inachukua abiria badala ya meli hii kusimamishwa kazi na kukaa jumba la makumbusho?..

  Jamani sasa ajali ikija tokea kwa meli hii atasema nini zaidi. Services hufanywa kulingana na Upya/ uzee wa kitu, gari zee haliishi kupelekwa garage na vyuma huchakaa kaka tofauti na gari jipya ambalo litakwenda kwa kupangiwa service za kubadilisha oil na tuneup..
   
 5. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kuwa kuna vyombo 2 ambapo SUMATRA iko bara na zbar wana chao. kwa hiyo tunapozungumzia mambo haya inapaswa tufahamu pia boundary areas. SUMATRA walifukuzwa zbar na hivi sasa matokeo yake ndiyo hayo kwani boti hizi nyingi zinasajiliwa visiwani na kupatiwa seaworthiness certificate huko huko. Ndugu zangu si mnajua wadogo zetu walivyo?? Hivyo basi haya ni matokeo ya kuingiza siasa kwenye kila jambo.
   
 6. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwani yeye kasema iendelee kufanya kazi? kama mtihani hujaelewa swali na umekosa.
   
 7. f

  filonos JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  hapo tuta lumbana mpaka 2 fika njombe jibu sahii hakuna tatizo kwana ni umakini wa kuwajibika kujiuzuru sio kutatua tatizo mfano jana limezama Jahazi na Raia 1 amekufa na waziri ni mpya je ni nini??hapo?? viongozi wanao chaguliwa kuongoza Wizara fulani hua wengi si wataram wa kazi husika hilo tatizo lipo Sekta nyingi 2 siko zote kila mtu alienda Skuli na kusomea fani Aiwezekani Muhasibu
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kuna hii familia ya watu muhimu katika JMT, familia inatawala bara na visiwani, familia hii mwanzo ilituleta bia zilizoisha muda wake, tukafurahi kupata bia za bei nafuu, hatujui tuliathirika kwa kiasi gani. Sasa familia imenunua vivuko na kuvijengea bodi za meli za abiria, watu wakifa wanawahi kwenda kutoa pole kwa familia. Sasa ni vigumu kwa meli bora za abiria kusajiliwa huko visiwani kama wao hawana share, ndio hawahawa waliosema SUMATRa wasifanye kazi zanzibar. Tutakapo acha kuwa na wateule wasioguswa na sheria ndipo tutaendelea.
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  wewe umeelewa au unatokwa mapovu tuuuuuuuu jamani AMEALERT HIKI KITU KUH HIYO MELI AIBU IKO WAPI WAPO VIONGOZI WANGAPI WANAJUA NA HAWALISEMI SUALA LA WAO KUIPELEKA AU KUTOIPELEKA ITS NPN OF KUBENEA'S BUSINESS
   
 10. M

  Mkandara Verified User

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Amesema tatizo sio meli kuu kuu na katolea mfano meli ya Liyumba kuwa ina miaka 100 na haijazama.. Hizi fikra ndizo nilizokubaliana nazo, hizi ni fikra za wavuta sigara, mtu akifa kwa kansa ya sigara tunasema hakufa kwa sababu ya sigara, mbona mzee Fulkani anavuta na amnaishi miaka 100 sasa. Someone else has to take the blame.. Meli zile hazikutakiwa kufanya kazi iwe pamoja na hilo ya Kigoma, MV Clarius ya Ukerewe hizi ni disaster waiting to happen...
   
 11. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  SUMATRA, Serikali ya JMT na SMZ wawekeze kwenye usafiri, watengeneze pato.
  Tuache kutegemea bakuli la wahisani na kodi za bia zinazoliletea laana hili taifa. Full stop.
   
 12. i

  iwensato Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je tukiamua iwe jumba la makumbusho itakaa majini au nchi kavu? "all the same". uzembe wa kupakia abiria zaidi ya uwezo ndio sababu kubwa kwani hata ikiwa mpya haiwezi kuhimili. Angalia walivyokuwa wakishindwa kutaja idadi ya abiria waliopanda boti.
   
 13. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,882
  Likes Received: 20,953
  Trophy Points: 280
  kaka,meli na vyombo vingi vya usafiri muhimu ni maintanance/service,hasa meli.meli sio kama gari kuwa baada ya miaka kumi ununue ingine,angalia meli za kifahari kama QE1/2 zina miaka mingi sana na bado ziko majini,meli hata ikiwa mpya kama unapakia watu 1000 badala ya 200 waliopangwa na wataalam itazama tu,meli ya tani 100 unapakia mzigo tani 1000 lazima izame hataikiwa mpya kabisa.
  sababu ya meli kuzama pamoja na uchakavu kikubwa ni kukiuka taratibu za uendeshaji.
   
 14. hodogo

  hodogo JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ujumbe hapa ni kwamba thamani ya watanzania huonekana wakifa maana taifa zima linaomboleza, tume zinaundwa watu wanapata ulaji!
   
Loading...